Jamani tujifunze kusamehe. Hata kama alikukosea bado ni baba tu kuna mengi aliyokufanyia bila hata wewe kujua, ndio maana umekuwa na kufikia hapo ulipo.
Nami nimewaza the same, tena nikasema suppose uzi huu (word to word) angekuwa ameuweka lara 1 ni kiasi gani angeshambuliwa na kupingwa na lawama zote zingepewa wanawake (mke to be soecific) kwa kushindwa kumake the home kama ambavyo hili jukumu tulivyotwishwa 100%.
Kuna Uncle yangu alinipa story, eti miaka ya 70s alipewa kiwanja Upanga akakataa, eti mbali duh! kipindi icho yeye anaishi kariakoo nyumba ya msajili. mpaka kesho nashindwa kumsamehe huyu jamaa. Ni kati ya wazee waliostaafu na kuondoka na mabegi yake kwenye nyumba ya serikali. alikuwa ni mtu mkubwa tu na very influential. watoto wake wanahangaika, elimu pia hakuwapa. wamebaki tu kusimulia baba yetu alikuwa ivi na vile.
Sidhani kama uko sahihi Kaunga, dunia imebadilika, challenge za maisha ni nyingi, uzuri mmoja unaona kabisa unavyoachwa ama na class/college mate, majirani nk so hakuna anayekubali kuachwa kwa mbali kirahisi...Alichoelezea The Boss tena kwa mfano dhahiri hakina ubishi so ukiona anayepingana na huu ukweli basi atakuwa mwendawazimu..... Hiki kizazi cha kina Gurumo na baba zetu ndio kinaishia na ukiona mwanaume anaishi maisha waliyoishi baba zetu karne hii ndoa inaishia kuvunjika kwani ni wanawake wachache wanaoweza kuvumilia ujinga wa namna hii. So sidhani kama wanaounga mkono wanafanya hivyo kiunafiki. Yawezekana baadhi tukawa bado kwa kiasi fulani hatujitambui kama hawa tunaowasema lakini hii haizuii mtu kusema hiki ni sawa na kile si sawa!
Kwenye hili sina ubishi mkubwa mwenzangu....
Mwenzenu hadi sasa, karibia vitu vingi sifanyi bila ruhusa ya bibi....ila wakati mwingine anakaba sana hadi natamani kukimbia nyumba....
Mwanamke wa hovyo ni zaidi ya kiroba cha misumali.....
Ndiyo maana nawakubali na kuwaheshimu akina na mama wenye busara zao, wakiongozwa na Bibi DC, mama yangu mazazi na wengine kibao....!!
Babu DC!!
Huyo baba nampongeza ni miongoni mwa wazee wachache waliokua na hekima na busara na tena alikua anaona mbali sana. Usipoangalia unaweza somesha na wajukuu , basi hata mimi huwa nawaambia hivi hivi wanangu. Huwa nasema nime- sacrifice kwa ajili yao. Ijapokua wazee wetu muda wao umepita na haiwezekani kurekebisha makosa yao basi sisi wazee wa kesho tuliangalie hili na tufanye kitu ili nasi tusiongelewe namna hii.ha haaa, umenichekesha tunapoongea pale nyumbani (mbele ya watoto wetu) kuwa tunajiandalia maisha yetu ya baadae....
Tukiwa tunapanga kitu tunajiambia "unajua tutabaki wawili tu", kwa hiyo tunaandaa kwa ajili ya wawili..... sasa wanatuambia yaani wao tunawatenga?
Babangu (RIP) namkumbuka sana wakati alipokuwa analipa ada za shule na kutuzungumzia kuhusu maisha alikuwa anatuambia tujitahidi ili asije akaendelea kulipa na ada za wajukuu zake. nakumbuka siku mdogo wangu alimkorofisha sana akamwambia unafikiri nakuambia kila siku kuhusu maisha ili uje kunisaidia? sitakuja kutegemea msaada wako baadae maana nina uwezo wa kujitegemea mpaka nakufa, ila sitapenda nikiwa nimezeeka bado nitakiwe kulipa ada za wajukuu ambao wazazi wao hawataki kukazana ili wajikwamue na maisha. Huwa nakumbuka sana hiyo statement yake
Kuna Uncle yangu alinipa story, eti miaka ya 70s alipewa kiwanja Upanga akakataa, eti mbali duh! kipindi icho yeye anaishi kariakoo nyumba ya msajili. mpaka kesho nashindwa kumsamehe huyu jamaa. Ni kati ya wazee waliostaafu na kuondoka na mabegi yake kwenye nyumba ya serikali. alikuwa ni mtu mkubwa tu na very influential. watoto wake wanahangaika, elimu pia hakuwapa. wamebaki tu kusimulia baba yetu alikuwa ivi na vile.
Hakuwa mama yetu, ila alikuwa baba yetu, ndiyo alimuacha mama yetu akaenda kuoa baada ya kupata pesa za EAST AFRICA zilipoisha akarudi home, na sisi tunamfanya kama mbwa wa kizungu anapata matumizi yote kasoro pesa.

The boss kaongea point leo..sijui wanaume wanasapoti kwa kumaanisha au basi tu.sababu ukiangalia,most men wako hivo.hasa hapa mjini dar,panachanganya sana watu.maisha ya kuigana na kuendekeza marafiki wasio na maendeleo..
Unakuta mtu analipwa mshahara wa kawaida tu ila mwanaume anaenda kukata kucha saluni na kusuguliwa miguu,kweli??ilimradi aonekane nae wamo kitaa.hana kiwanja wala maendeleo ya msingi,gari kakopa benki na kutwa wanawake.
Hivi mwanaume kuwa mhuni ni lazima eeh?its like imekuwa desturi mwanaume lazima apitie kipindi cha kuhangaika hovyo na women.wanaita 'phase ya ujana' wasijue hiyo ndo inadetermine uzee.ndomana maryoo wamezidi.janaume lipo lipo tu,akimuona kwenye gari utasema wa maana kumbe mkewe ndo anamuweka mjini.hana mipango,mshahara haileweki unapoishia.
mtu anaendekeza pombe,akitoka kazini lazima apitie bar.ukiwaona humu jf wanajitetea eti mbona mwanaume unakunywa bia na watoto wanaenda shule.we kila siku unaache elf 10 bar,kwa wiki ni elf 70.bado hujafanya tu kitu cha maana nayo?hapo familia yake haijatoka out karibu mwaka.ukidunduliza hizo elf 10 ukaenda vacation hata hapo ufukweni na familia,bado hujajenga kitu kweli??..
Men get serious...
Aisee.....Yaani Upanga alisema ni porini? Duh! Maisha yanakwenda kasi sana!
yaani The Boss umetugusa wengi, babangu anaelekea kustaafu lakini hata nyumba hana. halafu sioni kama hili linamuumiza yaani sie tumekuwa wa kuishi kotta wakati mzee ana uwezo wa kujenga lakini anaendekeza starehe hadi uzeeni. sas sijui atamlaumu nani.