The Boss , kuna wazee wengine hawashauriki, mimi mwenyewe baba yangu alikuwa hivyo, na ni mtu wa East Africa, alistaafu na mamilioni ya pesa , lakini hakuwa na hata kibanda, sana sana alienda kuoa mke mpya akamdaharau mama yetu,Uzuri mama yetu naye alikuwa anafanya kazi na ana nyumba 5 hapa mjini, yeye aliondoka na pesa zilipoisha akarudi home, so mtu kama huyo mnamfanya kama mbwa wa kizungu anakula bure, analala bure, anafuliwa, lakini hapewi hata senti tano. na nahisi anajua jinsi tunavyomchukia kiasi hamuombi hata mmoja wetu pesa. Jukumu letu ni kumlea mpaka utakapofika mwisho wake full stop.