Wanaume na 'kuchezea maisha'.....

Wanaume na 'kuchezea maisha'.....

yaani The Boss umetugusa wengi, babangu anaelekea kustaafu lakini hata nyumba hana. halafu sioni kama hili linamuumiza yaani sie tumekuwa wa kuishi kotta wakati mzee ana uwezo wa kujenga lakini anaendekeza starehe hadi uzeeni. sas sijui atamlaumu nani.
 
Last edited by a moderator:
mkuu The Boss hapo ndio ntaamini mzee huyu ni tatizo maana kama hana nyumba nilitegemea aombe mifuko ya cement au bati ili ajenge.

Kwa maelezo yake ni kwamba nyumba anayo...Ila hana gari wala baiskeli....

Bado sielewi...labda tuwasamehe tu .... kwani mtu hutenda kutegemea na mazingira yaliyomzunguka!!

Hawa jamaa walikula bata kwa mrija hadi wakacheua....bahati mbaya ni kwamba shibe haidumu...

Babu DC!!
 
Nipo mkuu....nimebanwa kila upande kaka!!

Mbona huyu mzee hatuelezi viwanja vyake vilikuwa ni vipi??

Kuna jamaa alinambia kuwa kila mtu ana ulevi wake...ila kuna watu wanaweza kutawala huo ulevi wao na kuonekana kama ni tofauti na wengine...

These guys messed it up with starehe sasa wanatafuta mtu wa kumbebesha lawama... very bad and shame on them!

Ni sawa na wale wakubwa waliokuwa wanaishi kwenye nyumba za serikali, fully furnished, wakaja kustaafu bila hata kitanda....

Nawashauri wanyamaze na kukumbuka jinsi walivyotesa kipindi ambacho ilikuwa ndiyo zamu yao..

Babu DC!!

Yaani hawa mtu analipwa 'elfu ishirini' unakuta nyumba zinauzwa shilingi 2000...enzi hizo
na bado uzeeni hana nyumba ni full lawama
 
yaani The Boss umetugusa wengi, babangu anaelekea kustaafu lakini hata nyumba hana. halafu sioni kama hili linamuumiza yaani sie tumekuwa wa kuishi kotta wakati mzee ana uwezo wa kujenga lakini anaendekeza starehe hadi uzeeni. sas sijui atamlaumu nani.

That's the word....

Babu DC!!
 
Yaani hawa mtu analipwa 'elfu ishirini' unakuta nyumba zinauzwa shilingi 2000...enzi hizo
na bado uzeeni hana nyumba ni full lawama

Mkuu tuwasamehe, hawakuwa na motivation ya kujenga aisee...
After all, walikuwa anaogopa magonjwa ya zinaa tu...tena mengi yakitibiwa kirahisi na PPF!!

Ndo maana natamani kusikia wakitupa na upande huo..

Babu DC!!
 
yaani The Boss umetugusa wengi, babangu anaelekea kustaafu lakini hata nyumba hana. halafu sioni kama hili linamuumiza yaani sie tumekuwa wa kuishi kotta wakati mzee ana uwezo wa kujenga lakini anaendekeza starehe hadi uzeeni. sas sijui atamlaumu nani.

Gombaneni nae sasa hivi
atawasumbua mno huyo baadae...
atawatolea laana msipompa pesa...hapo baadae
mngeanza kugombana nae sasa
 
huyu Mzee Gurumo alikuwa sio mtu wa kupewa gari na Diamond...
angekuwa na magari na majumba tele ya kuwarithisha watoto na wajukuu...

Lakini kwani ni lazima kuwa na gari? Na hilo gari alilopewa na Diamond alimwomba Diamond ampe au Diamond kampa tu kwa hiari yake? Na yeye mzee Gurumo alisema alikuwa anataka gari miaka yote hii lakini hakuwa na uwezo wa kununua?
 
Gombaneni nae sasa hivi
atawasumbua mno huyo baadae...
atawatolea laana msipompa pesa...hapo baadae
mngeanza kugombana nae sasa

Kumbe na wewe wakati mwingine unatoa maneno ya uchochezi.....??

Babu DC!!
 
Lakini kwani ni lazima kuwa na gari? Na hilo gari alilopewa na Diamond alimwomba Diamond ampe au Diamond kampa tu kwa hiari yake? Na yeye mzee Gurumo alisema alikuwa anataka gari miaka yote hii lakini hakuwa na uwezo wa kununua?

Alisema kwenye gazeti kuwa anasikitika muziki haujamtoa kwenye umasikini
gazeti la Mwanaspoti au Champion sina uhakika
miaka zaidi ta 50 muziki haujamtoa kwenye umasikini...according to yeye
 
Kwa kadri ya maneno yako wakati anahojiwa na waandishi wa habari, inaonesha anasikitika sana kwa kutokuwa na gari. Ndiyo maana alisema kwamba, pamoja na kufanya muziki kwa muda mrefu, hana gari wala hata baiskeli...

The guy is agonising...

Babu DC!!
 
Mkuu The Boss pamoja na hayo inawezekana mzee ngurumo kuna makosa alifanya ambayo yamemfimisha hapo.

Lakini lazima thkubali serikali yetu haijaamua kuwasaidia wasaanii na kazi zao zinaibiwa kila leo.nimesikia wanaweka sticker kwenye kazi zao kupitia tra lakini hii ni njia inayo inufahisha serikali moja kwa moja si msanii.

Bado kuna tatizo kabisa ambalo lina changia umaskini wa wasanii wetu, watu wana burn kazi zao mitaani na hakuna sheria za kuwadhibiti maharamia wa kazi zao.

Na hawa wasanii wetu nao ni tatizo kabisa kwanza hawana umoja kabisa,pili kila leo wanakula futari na rais lakini wanashindwa kushinikiza sheria za kuwabana wezi wa kazi zao. Wana shindwa kumuomba rais kuunda kikosi kazi cha kupambana na wezi wa kazi zao nchi nzima,kinyume na hapo wanaishia kupiga nae picha alaf wanakuja kwenye media kusema tunakufa masikini wakati hawajui kutumia nafasi wazipatazo.
 
Last edited by a moderator:
Alisema kwenye gazeti kuwa anasikitika muziki haujamtoa kwenye umasikini
gazeti la Mwanaspoti au Champion sina uhakika
miaka zaidi ta 50 muziki haujamtoa kwenye umasikini...according to yeye

Hiyo 'haujamtoa kwenye umaskini' inahitaji qualification nadhani. Maana kuwa na gari tu haimaanishi kwamba mtu ndo ushatoka kwenye umaskini na kutokuwa na gari haimaanishi mtu ni maskini.
 
Mkuu The Boss pamoja na hayo inawezekana mzee ngurumo kuna makosa alifanya ambayo yamemfimisha hapo.

Lakini lazima thkubali serikali yetu haijaamua kuwasaidia wasaanii na kazi zao zinaibiwa kila leo.nimesikia wanaweka sticker kwenye kazi zao kupitia tra lakini hii ni njia inayo inufahisha serikali moja kwa moja si msanii.

Bado kuna tatizo kabisa ambalo lina changia umaskini wa wasanii wetu, watu wana burn kazi zao mitaani na hakuna sheria za kuwadhibiti maharamia wa kazi zao.

Na hawa wasanii wetu nao ni tatizo kabisa kwanza hawana umoja kabisa,pili kila leo wanakula futari na rais lakini wanashindwa kushinikiza sheria za kuwabana wezi wa kazi zao. Wana shindwa kumuomba rais kuunda kikosi kazi cha kupambana na wezi wa kazi zao nchi nzima,kinyume na hapo wanaishia kupiga nae picha alaf wanakuja kwenye media kusema tunakufa masikini wakati hawajui kutumia nafasi wazipatazo.

Vyovyote vile 'alichezea maisha still'
na hata hawa wa sasa wengi 'wanachezea maisha' pia
 
Kwa kadri ya maneno yako wakati anahojiwa na waandishi wa habari, inaonesha anasikitika sana kwa kutokuwa na gari. Ndiyo maana alisema kwamba, pamoja na kufanya muziki kwa muda mrefu, hana gari wala hata baiskeli...

The guy is agonising...

Babu DC!!

Huyo basi labda hakuwa na busara za kufikiri na kuona mbele na huenda alikuwa anaishi kama vile hakuna kesho.

Ajilaumu mwenyewe.
 
Hiyo 'haujamtoa kwenye umaskini' inahitaji qualification nadhani. Maana kuwa na gari tu haimaanishi kwamba mtu ndo ushatoka kwenye umaskini na kutokuwa na gari haimaanishi mtu ni maskini.

mimi nimezungumza kiujumla
ishu sio gari
ishu ni yeye kusema ni maskini wakati 'alipata nafasi'
 
Mkuu The Boss pamoja na hayo inawezekana mzee ngurumo kuna makosa alifanya ambayo yamemfimisha hapo.

Lakini lazima thkubali serikali yetu haijaamua kuwasaidia wasaanii na kazi zao zinaibiwa kila leo.nimesikia wanaweka sticker kwenye kazi zao kupitia tra lakini hii ni njia inayo inufahisha serikali moja kwa moja si msanii.

Bado kuna tatizo kabisa ambalo lina changia umaskini wa wasanii wetu, watu wana burn kazi zao mitaani na hakuna sheria za kuwadhibiti maharamia wa kazi zao.

Na hawa wasanii wetu nao ni tatizo kabisa kwanza hawana umoja kabisa,pili kila leo wanakula futari na rais lakini wanashindwa kushinikiza sheria za kuwabana wezi wa kazi zao. Wana shindwa kumuomba rais kuunda kikosi kazi cha kupambana na wezi wa kazi zao nchi nzima,kinyume na hapo wanaishia kupiga nae picha alaf wanakuja kwenye media kusema tunakufa masikini wakati hawajui kutumia nafasi wazipatazo.

Hii mitazamo ya wasanii wakati mwingine inaniacha hoi....

Kama kila kitu watasubiri serikali, ina maana watafikia mahali hata waume/wake zao wataomba watunzwe na serikali....

Kila mtu aubebe msalaba wake na kusonga mbele kama alivyoshauri Cleopa Msuya...!

Babu DC!!
 
Lakini kwani ni lazima kuwa na gari? Na hilo gari alilopewa na Diamond alimwomba Diamond ampe au Diamond kampa tu kwa hiari yake? Na yeye mzee Gurumo alisema alikuwa anataka gari miaka yote hii lakini hakuwa na uwezo wa kununua?

mkuu Nyani Ngabu bora na wewe umejiuliza hayo. na mimi bado na tatizwa kwa kile alicho kisema huyu mzee kuwa alitaka kuwa na gari lakini hajafanikiwa sijui yeye kwake gari ana lichukuaje? bado najiuluza kama ana nyumba au lah maana kama hana nyumba ningetegemea aseme hilo hili apewe mifuko ya cement na bati. lakini kwa alivyo zungumza ni mtu aliyekuwa ana tamani gari sasa sijui kama ana pakuli park.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo 'haujamtoa kwenye umaskini' inahitaji qualification nadhani. Maana kuwa na gari tu haimaanishi kwamba mtu ndo ushatoka kwenye umaskini na kutokuwa na gari haimaanishi mtu ni maskini.

Mkuu umeshasahau huku kwetu uswazi...Gari ndiyo alpha and omega!!

Ukishakuwa na gari hato totoz za O'bay utazitokea bila wasi wasi bwana....!!

Hayajawahi kukutua hayo...hadi ukaazima gari ya mshikaji??

Babu DC!!
 
Time tells. Unaonekana wewe ni mdogo sana kwa mri maana mambo yalikuwa magumu sana.

Kwa taarifa yako huyu Gurumo ni moja kati ya watu wa wakati wake ALIYEFANIKIWA SANA. Ukweli ni kuwa wenzake wapo HOI zaidi yake. Kila jambo na wakati wake.
 
mkuu Nyani Ngabu bora na wewe umejiuliza hayo. na mimi bado na tatizwa kwa kile alicho kisema huyu mzee kuwa alitaka kuwa na gari lakini hajafanikiwa sijui yeye kwake gari ana lichukuaje? bado najiuluza kama ana nyumba au lah maana kama hana nyumba ningetegemea aseme hilo hili apewe mifuko ya cement na bati. lakini kwa alivyo zungumza ni mtu aliyekuwa ana tamani gari sasa sijui kama ana pakuli park.

Nyumba anayo mkuu, labda kama timu yake ni zaidi first 11 na wachezaji wote wa akiba...

These guys were really busy kule ikulu!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom