Wanaume na haraka ya ngono

Hamchelewi kubadilisha maamuzi ndio maana tunafanya hivyo.
 
And i love you mahondaw wangu... Even i, whenever we meet lazima to duu.. Hatujawahi kaa na kuchill tuu...


But kiuhalisia hapa duniani tupo kwa mission tatu tuu...
1. Kuzaliwa
2. Mapenzi
3. Kifo.
Tupo kwa ajili y kumwabudu Mwenyez Mungu ayo mambo mengn y ziada

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani nakutongoza tupige story tu au!??

Sent from my Z30 using JamiiForums mobile app
 
Kama Mimi eti unique mpaka tuende church ndo nakujua
Kama kweli nakupenda nimejitahidi sana siku Mbili, ila ukiona Wiki imekata jua nakuibia kwa hiyo sikutegemie[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kama kweli nakupenda nimejitahidi sana siku Mbili, ila ukiona Wiki imekata jua nakuibia kwa hiyo sikutegemie[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mrudie Mungu mkuu utaweza kuyashinda "to God nothing impossible"
 
Ulichezea bahati

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Alafu wanawake wana act kama hawapendi game vile,
 
Mrudie Mungu mkuu utaweza kuyashinda "to God nothing impossible"
Tatizo hamtabiriki naweza kuvumilia kumbe nafanya kazi ya kuhifadhia asali kwenye mzinga wenye nyuki wakati najua kuwa chakula cha nyuki ni asali kama tumeridhiana sioni sababu ya kutesana eti tuu kwa kuonyesha kuwa Nawez kuvumilia hakunaga hiyo mkuu[emoji15] [emoji15]
 
Kuna Mjamaa Wangu Enzi Za Chuo Kakulia Ktk Dini Mseminari Akapata Demu. Demu Alimsumbua Sana Kakubali Mwaka Wa 2 Mwishoni. Jamaa Na Useminari Wake Akawa Anaishia Kula Kiss Tu Akiona Mtombo Labda Wamalize Chuo(Mwaka Wa Nne) . Kumbe Mtoto Kakutana Na Mchana Mbao Hana Soni Ktk Kuomba Mpapa. Dadeki Mtoto Alipigwa Muwa Akanogewa Akahamiaga Kwa Jamaa Wiki Alafu Sim Kazima. Ilikua Kitimtim Maana Wazazi Wa Binti Wanamtafta Dem Hapatikani Ikabidi Waje Chuo Kuulizia Marafiki Wa Dem Wakasema Mfwate Boy Wake,Mshkaj Hajui Kitu Maskini. Dadeki Nusu Iripotiwe Polisi Ila Dem Kaja Kuwasha Simu Kama Zali Ndo Wanampata Hewani. Sasa Mwanangu Kaja Kugundua Kaachana Na Demu Hata Hajawag Kum-Dry Hump Si Ubwege Huo. Mie Ukinikubalia Tu Hapo Hapo Napima Oil Dadeki (Natania) [emoji48] [emoji48] [emoji48] [emoji48] [emoji48]

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume mashine bn sasa mnataka tusubir nn

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mtu akishabalehe sex ni moja ya basic needs....its naturally.....yan iko ivo hata ujifanye ww hutak na nn na nn.......so km una mpenz sion sabab ya kunyimana cha msing mnafanya ngono salama tuu
 
Ukiona hivyo amekutadhimini akajua inawezakana cku hiyo hiyo ,vaa yako tembea yako ata ongea yako,badilika

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…