Wanaume na haraka ya ngono

Wanaume na haraka ya ngono

Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Inaweza kutegemea na ww alivyokuchukulia

La pili ni mara nyingi mwanaume anatafuta mwanamke akiwa mpweke na mhitaji wa gegedo

Pia inawezekana ndo lengo lake tu

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Kuna tatizo kiukweli wanaume tunalalamikia wanawake na wanawake wanalalamikia wanaume sasa sijui nini kifanyike Mkuu maana ni janga siku hizi hakuna ndoa kilichobaki ni kufichiana aibu ndo pale wanaoshindwa wanakimbizana hivyo ndio inatokea watu wanawaza mapenzi tu
Ni kuomba mungu usikutane na gume gume tu otherwise mhmmhmhmhmhmhmhmh balaa....

Pia Kuna wanaume wanajitambua sana nao kumi kwa mmoja... Kumpata sasa....

Cc Smart911
 
Daaah umenigusa MKUU nimetoka kumduu MTU mida hiii hiii ,nimetia neno tu kakubali kuna kigiza nimempa cha njiwa faster

Sent from my Z4 using JamiiForums mobile app
 
Kwani baada ya muda gani tangu umkubalie unafaa kumpa mambo

Sent from my 1201 using JamiiForums mobile app
Angalau utoe nafasi ya kufahamiana vizuri
 
Daaah umenigusa MKUU nimetoka kumduu MTU mida hiii hiii ,nimetia neno tu kakubali kuna kigiza nimempa cha njiwa faster

Sent from my Z4 using JamiiForums mobile app
Hongera mkuu kwa kuondokana na bikira yako leo jioni
 
Sasa ukishakubali nianze kusubiria nini tena mwishowe aje mwenye haraka zake aniwahi
 
Kwani lengo la kutongoza ni nini hasa?

Sent from my Nokia katochi using Jamii Forums Mobile App.
 
Back
Top Bottom