Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Kama unamkaribia huyu chagua unapotaka twende weekend hii.
14606344_10154546092332482_1371128082849117720_n-jpg.443130

Nakuja au ya Miss N Peke!!!
 
Hakuna mwanaume ambaye atakuwa comfortable kulipiwa bill.Hapa nasema mwanaume na siyo vijanaume..Kama umemzidi kipato wewe kazi yako kubwa kumjenga kisaikolojia aone it is okay...Tena uwe tayari kubend smtym kwenda sehemu anazotka yeye na ambazo anaweza kulipia..Au basi kabla hamjatoka na mmezoena waweza sema Switie tutatumia kiasi kadhas..Hii ndyo ninayo put in your wallet...Kwenye kulipa atalipa yeye...Itamfeel ajione kidume

Sasa ikiwa unafanya vitu kwa wema tu but haumpi nafasi yake kama Mwanaume lazima atajifl hayo uliyoeleza
 
Wanaume wenye uwezo wa kujitutumua miaka hii wamekua wachache, wengi wao wana Tabia ya kukuuliza "Mamii una jero hapo nichanganye na hii tulipe...!!"
 
Mwanamke akikuhonga pesa au kukusaidia, atajisifia kwa rafiki mpk habari zitakufikia na haitoshi mkiachana atakusema na kupata aibu kwa kila alichokusaidia hata kama ni mara chache mno.
-nilikuwa najinyima kisa yeye
-vocha namtumia mimi anaongea na wanawake zake
-mimi mbona nipo fair hata bf wa zamani tukitoka out mimi ndo nalipia maranyingi
-mimi sipo hivyo bf akiwa hana namtumia najua kuna kusaidiana.
-kama ingekuwa sio yeye ningekuwa mbali sasa hivi, nimepoteza pesa nyingi sana kwa ajili yake.
**wakati mwingine kutumia hela ya mwanamke ni kutumia hela ya mwanaume mwenzio.
Ndi ndi ndii
 
Wanaume mbona hamjioni nyie ndo huwa mstari wa mbele kusema nahudumia kila kitu ila....
 
Huu upuuz wa kujitesa kisa umemtaman dem au dem anaejua ww unapesa kumbe huna ni mbaya sanaaa

Ila afadhali tumepitia na.kujifunza

Kiukweli siwez kwenda na dem out alafu alipie yeye hapo ukija kutoswa ni kelo balaa

Vilevile siwez kukutoa out leo alafu kesho nilale na njaa bora nipige nyeto tuu

Maana nimepitie hayo mambo ya kutokuwa na pesa

Kwa mfano kuna day nilitoka zangu external nikaenda mliman city,huku mfukon na buku tano,
Usafir kwenda unakatwa 500,ikabaki 4500/=

Nikakutana na papai pale mliman city limeivaa balaa,totozz la linasoma ardhi,
Nikamlia targert,nikapata kumsemesha,kumchekesha mwisho wa siku nikamtell tukapozee koo

Ka pub tulipo poz bint redball 3500 nami maji 1000..tayar nikawa empty mida ya saa sita flan tukapiga story mpk saba flan......then tukaachana

Mbongo nilianza mdogo mdogo na jua onfoot toka mliman city mpk external

Mbaya zaid,nilichofwata zikutimiza

Ila alikuwa mtamuuu mnooooooooo

Vijana tusake pesa tuu,hawa wanadharau sana ukiwa huna pesa

Ila.nwdays waelew sana ,wanaelewa sana uongo kuliko ukweli,kiufupi wanatafunika
Acha uzururaji kama huna nauli..unaweza ukachi nyumbani pia
 
Back
Top Bottom