Wanaume 'msio na pesa' hapa tu ndo mnapokosea

Mwanamke akikuhonga pesa au kukusaidia, atajisifia kwa rafiki mpk habari zitakufikia na haitoshi mkiachana atakusema na kupata aibu kwa kila alichokusaidia hata kama ni mara chache mno.
-nilikuwa najinyima kisa yeye
-vocha namtumia mimi anaongea na wanawake zake
-mimi mbona nipo fair hata bf wa zamani tukitoka out mimi ndo nalipia maranyingi
-mimi sipo hivyo bf akiwa hana namtumia najua kuna kusaidiana.
-kama ingekuwa sio yeye ningekuwa mbali sasa hivi, nimepoteza pesa nyingi sana kwa ajili yake.
**wakati mwingine kutumia hela ya mwanamke ni kutumia hela ya mwanaume mwenzio.
basi, hapo umemaliza mkuu nadhan amekuelewa.
 
Sema apo kwenye kijoti na karanga ndo umenitabasamlisha
 
mmmhhhhhh Zurie naomba unichukue mimi tu unitoe out wiki endi hiii mi natumiaga maji ya viwanda basi
 
Mim mwanamke mwenye pesa apite kushoto maana hawezi kufuata sheria zangu.
 
Wanaume wengi, hasa wa JF wanalalamika sana kuwa wanawake tunataka wanaume 'wenye pesa' au waliofanikiwa tu. Pia kuonesha hii (kukubalika bila kuwa na pesa au kuhonga) ndio concern kwa wanaume wengi ni pale nyimbo nyingi za Kitanzania message ni hiyo hiyo, mfano: "Japo sina kitu,......", "Ukawaacha wenye pesa......" Tukilala njaa......"

Nikirudi kwenye mada, Kukosa pesa sio tatizo!!!!!

Mimi ni mtu ninayependa finer things in life. Napenda vitu vizuri na sisubirii mtu anipe. Kwenye kujipa raha sinaga subira wala uoga, najigharamia. Halafu kingine ni kuwa I am generous, sio mchoyo kabisa. Kuwa na mimi na utaexperience kila ninachoexperience. Ukiwa mtu wangu automatically ntakuinclude nikienda shopping, movies, nikipanga safari ya bata nakujumuisha na kila kitu.

Sasa unakuta uko kwenye mahusiano na mtu, akishajua jinsi unaendesha maisha yako anataka kujitutumua kukuimpress. Anataka kukupa huduma zile zile unazojipa mwenyewe au hata zaidi kwa pesa ambazo hana ili tu umuone bora zaidi. Inatia huruma!

Unakuta unamuinvite mtu out anataka kulipa wakati unajua kabisa hawezi kuafford, kwanini mnajitesa wanaume. Mtu ukishapendwa usiwe na hofu, ujue umekubalika ulivyo. Matokeo yake inabidi nishushe hadhi ya starehe zangu ili mpenzi aweze kuafford, ni kuikatili nafsi huko!!!!

Na mwanaume wa hivi atake kulipia kitu halafu umwambie hapana Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....mnuno wake hauishi leo. Atakuaccuse vitu kibao. Baada ya siku kadhaa unamkuta anakula karanga na kijoti, kisa kulipa Ankara zisizo zake.

Ndio maana wadada wanaishia kwa wenye nazo ili kuondokana na hali ya kuona huruma kila siku.
Mjirekebishe!!!!!!!!
Hahahaa huruma kila siku....[emoji29] [emoji29] [emoji29]
 
Mwanamke akikuhonga pesa au kukusaidia, atajisifia kwa rafiki mpk habari zitakufikia na haitoshi mkiachana atakusema na kupata aibu kwa kila alichokusaidia hata kama ni mara chache mno.
-nilikuwa najinyima kisa yeye
-vocha namtumia mimi anaongea na wanawake zake
-mimi mbona nipo fair hata bf wa zamani tukitoka out mimi ndo nalipia maranyingi
-mimi sipo hivyo bf akiwa hana namtumia najua kuna kusaidiana.
-kama ingekuwa sio yeye ningekuwa mbali sasa hivi, nimepoteza pesa nyingi sana kwa ajili yake.
**wakati mwingine kutumia hela ya mwanamke ni kutumia hela ya mwanaume mwenzio.
Umesema neno.
 
Mhh! Nishazoea kina Mwajuma Ndala ndefu mm! Mambo za Shopping Mlimani City sijui kwenda kula Pizza, sijui Cinema hizo hamna.....
 
Wanaume wengi, hasa wa JF wanalalamika sana kuwa wanawake tunataka wanaume 'wenye pesa' au waliofanikiwa tu. Pia kuonesha hii (kukubalika bila kuwa na pesa au kuhonga) ndio concern kwa wanaume wengi ni pale nyimbo nyingi za Kitanzania message ni hiyo hiyo, mfano: "Japo sina kitu,......", "Ukawaacha wenye pesa......" Tukilala njaa......"

Nikirudi kwenye mada, Kukosa pesa sio tatizo!!!!!

Mimi ni mtu ninayependa finer things in life. Napenda vitu vizuri na sisubirii mtu anipe. Kwenye kujipa raha sinaga subira wala uoga, najigharamia. Halafu kingine ni kuwa I am generous, sio mchoyo kabisa. Kuwa na mimi na utaexperience kila ninachoexperience. Ukiwa mtu wangu automatically ntakuinclude nikienda shopping, movies, nikipanga safari ya bata nakujumuisha na kila kitu.

Sasa unakuta uko kwenye mahusiano na mtu, akishajua jinsi unaendesha maisha yako anataka kujitutumua kukuimpress. Anataka kukupa huduma zile zile unazojipa mwenyewe au hata zaidi kwa pesa ambazo hana ili tu umuone bora zaidi. Inatia huruma!

Unakuta unamuinvite mtu out anataka kulipa wakati unajua kabisa hawezi kuafford, kwanini mnajitesa wanaume. Mtu ukishapendwa usiwe na hofu, ujue umekubalika ulivyo. Matokeo yake inabidi nishushe hadhi ya starehe zangu ili mpenzi aweze kuafford, ni kuikatili nafsi huko!!!!

Na mwanaume wa hivi atake kulipia kitu halafu umwambie hapana Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....mnuno wake hauishi leo. Atakuaccuse vitu kibao. Baada ya siku kadhaa unamkuta anakula karanga na kijoti, kisa kulipa Ankara zisizo zake.

Ndio maana wadada wanaishia kwa wenye nazo ili kuondokana na hali ya kuona huruma kila siku.
Mjirekebishe!!!!!!!!
Umesema ya kweli Mkuu Tunakufa na tai shingoni kizungu ni sheedah
 
ukipata mwanaume wa hivyo basi ili kumfanya awe comfortable huko out mnakoenda, mpe hizo hela zikae mfukoni mwake ili mwisho wa siku aonekane yeye ndio analipa bill zote. ukijua kucheza na mind yake wala hamtasumbuana. lakini pia ni ishara pia jamaa ni mpambanaji ipo siku atakuwa pedeshee tu.
 
Back
Top Bottom