Wanaume mnataka nini

Why ar u shocked and embarrassed?
Do u know what I want?
All I want is to see my man happy,and me to be his woman. Is that embarrassing? Now I'm asking me the same question, wanaume mnataka nini! Phweeeew!
:shock::shock::shock::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Why ar u shocked and embarrassed?
Do u know what I want?
All I want is to see my man happy,and me to be his woman. Is that embarrassing? Now I'm asking me the same question, wanaume mnataka nini! Phweeeew!
.......ninapotaka Mimi ni hapo tu.......wakajua weye hako kanyimbo?
 
ukisema upoteze muda kumwaza mwanaume na kero zake utakonda bure...dawa yao hao ni kupiga mzigo tu (kazi) km huna shida vile they are always maproducer wa stress.:juggle:

thats true my dia!unaweza kupasuka kichwa kwa mawazo!!likitoka hili kesho kuna jipya lingine.
 
Wanaume wengine unaweza kujikuta mpaka unajisahau wewe na kumpenda na kumjali yeye tu!mwisho wa siku anaona kawaida sana na wengi hawana appreciation!nimegundua kitu! "from now onwards i'll only care for myself"
 
Wanaume huwa hawajielewi wanachotaka. Wanataka yote wakati wanajua ni ngumu kupata. Sio wote jamani, msining'oe pua.
 
Wanaume huwa hawajielewi wanachotaka. Wanataka yote wakati wanajua ni ngumu kupata. Sio wote jamani, msining'oe pua.

Tunapenda kunyenyekewa zaidi Husninyo...

Muda wote..hata kwenye maongezi ya kwenye simu,nyumbani,kadamnasi,etc.

Ila mbele za watu,ndiyo kwa sana....
 
Tunapenda kunyenyekewa zaidi Husninyo...

Muda wote..hata kwenye maongezi ya kwenye simu,nyumbani,kadamnasi,etc.

Ila mbele za watu,ndiyo kwa sana....

mbona huwa mnawatesa wapenzi wenu wanaowapenda na kuwanyenyekea mnaenda kunyanyaswa na mashankupe.
 
mbona huwa mnawatesa wapenzi wenu wanaowapenda na kuwanyenyekea mnaenda kunyanyaswa na mashankupe.

Ah... % ndogo ya wanaonyenyekewa kisha wakaenda nje...

Mi ningekuwa na shorty(sorry..) sio siri,na awe mnyemnyekevu,hadi leo siku ya kwenda saluni nisingemwacha home...!
 
nimeshindwa kabisa kuelewa heri niwe tu peke yangu
Pole mwaya shoati wangu,
mapnz ndivo yalivo,km leo ndio hivo,
Jioni akija anaomba msamaha na kwa vile uko mapnz unasamehe,
Unashangaa ushasahau yote inakuwa ni raha mustarehe!
Yan hayaeleweki leo raha kesho kilio ndivo yalivo mpnz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom