Wanaume mnataka nini

Wanaume mnataka nini

Wanaume hawakuzaliwa na natural love. Love needs training to men. It is not as natural as it is with women. In most cases they play the so called trial and error situation in love issues. The game includes experimenting women through sex, in the end wanagundua every woman is the same. Wakati mwingine magonjwa ya kisaikolojia yanawatesa. Mfano, kuna rafiki yangu alikuwa ana shida na nguo ya ndani yenye rangi nyekundu inayovaliwa na mwanamke. Kila alipomwona girl friend wake amevaa bra au underwear nyekundu ilikua ndio niagieni kabisa. Wengi wao hawawezi hata kuwaambia wenzi wao usivae hiyo rangi maana huhofia kuwa wataonekana wa ajabu. Ni muhimu sana wanaume tufunguke badala ya kukimbia bila kutoa taarifa kwa wahusika. Nitaendeleza mada ikihitajika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom