bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 468
EVERY MAN CHEATS... Ni mwanamke mpumbavu tu ndio ata kaa naku jinadi mwanaume wangu is soo faithful hana wanawake nje ni mimi tu ... sioni ishara yoyote ya yeye kua na mwanamke nje... okay listen “mwanaume anae m respect mwanamke wake wa ndoa kamwe hawezi kujiachia kihasara hasara ili ajulikane ana piga show nje” kama mwanaume haku heshimu ndio atakuonyesha habari picha kabisa kwamba bana mimi na piga show nje.

