Wanaume mnataka mgundue nini

Wanaume mnataka mgundue nini

Mmmhhh baby ...sitaki kukuchakaza ,,nakutumia taratibu taratibu kwamatumizi ya baadaeee kwamiaka 90 tu alafu ndo tutapeana talaka
4dc81ee14efcb26056dadf29943ae28c.jpg
 
Maisha hupotezi ila cha moto lazima ukione , raha inazidi mpaka unahisi mwili kuishiwa nguvu
ca1c3c942e7f837dc93cb6fc848dc3c2.jpg
mie niwako tuuu ....... Jichunge mama kamwe sipendi ije itokee hii
470cfd88ef0947d8549a2a9cf84ceeb0.jpg
napokua nmekosea ,,wee nifungukie tuuu ,nichane laivu tena kwamakavu laivu ,yote kwayote usikae kimya nikawa MTU wakujiuliza maswal kama huyu chaliii
e7cd5158b33b60ed3f2ff37fa0061a44.jpg
.... Weeee nichane laivu tuuu ili mradi mwisho wasiku mambo yawe yetu yawe hivi
7835b22c8f68074af43b5022953905ad.jpg
its not that easy chief, mahusiano yanakuwaga na vitu vya ajabu ajabu sana sometimes
 
Masoud Kipanya: Hakuna mwanaume Anayeridhika na Mwanamke mmoja. ....Ukiona katulia na mmoja basi ana matatizo au uchumi umekaa vibaya

“Hakuna mwanaume anaependa kuwa na mwanamke mmoja,na hiyo ndiyo huruka ya uanaume,tunajizuia tu kwa sababu!! hivyo kwa mfano kwa wenzangu wakristo utaratibu unawazuia lakini angalia vidumu vilivyo nje unaona eeehh??"
 
Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.

Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.

Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu

Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
Imeeandikwa oeni wanne au watatu mpaka wawili ikibidi oa mmoja,maana yake mwanaume kamili anatakiwa aoe waane kwa nguvu alizonazo akiwa hana uwezo basi ndio ataoa mmoja.Mwache mzee 'afaudu'.Haluu.wakulaumiwa sio mzee ni huyo binti kwa kumkubali muhenga.Nani anatamaa hapo?
 
Back
Top Bottom