Wanaume mnataka mgundue nini

Wanaume mnataka mgundue nini

ha ha ha haaaaa miaka tisini unipe talaka niende wapiiiii khaaa tutakufa wote tu kwa kweli
sihuwa mnapenda talaka jaman ????
28463fc9e1a9e935d979e1233799d0ab.jpg
sema kwaulivyo mchalu .....tutazikana tu mama.
 
Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.

Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.

Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu

Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
Huyu ni mdogo wako kwa Mama yako mwingine, umenifikiria vibaya tu Mwanangu, nilikuwa namfanyia nae ka-shopping...!
 
sijawahi kutoka na mzee nimejibia hapa ili usipate tabu ya kutagiwa....sasa Mimi mzee hiyo nini yake yenyewe ishaanza kukunjana mi ya kazi gani
Sawa mkuu humu kuna jamaa anajiita boloyoung. Ebu ngoja akuje anisaidie ikikunjamana inafanana aje....
 
Back
Top Bottom