ANTHONY ISSAH
Member
- Nov 27, 2017
- 16
- 3
duuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!...............
Mkuu usiwe na majonzi mkuu!!!.
SawaWeee omba tu mwaya !!!...
Labda ni mwanae kwa mke wake wa tatu…maana inawezekana huwafahamu wake wote wa baba yako wa kufikia, usimalize yote bila kuwa na uhakika!Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.
Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.
Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu
Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
mmmmhhhSawa
Heeeeee hutaniwiSawa
aiseeee kupendwa Raha ,,toka nipendwe weee nikiboko yao ,,unajua kunipenda mpaka najiogopa mpenzi... nataka jion Leo nikubebe ivi
hapo vipi mpenzi ??.Mimi nilikuona ulivyosutuka ila ikabidi ujikaze tu. Nilijaribu kukukonyeza ubane kwangu huku ili nasi time kampani. Hata hivyo hatujachelea. Drop your n. P M tuanze namna ya kuliamsha dude. Karibu.Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.
Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.
Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu
Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
sawaMkuu usiwe na majonzi mkuu!!!.
Hata ndege ikiwa angani inakata kona juu kwa juu !!!.
Mtamaliza bucha nyama ile ile
Hako kabinti, kalikuwa na tukunyema lenye maana au?Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.
Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.
Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu
Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
Ndo unafikiria hivo!??Mtamaliza bucha nyama ile ile