mukulu binadamu
Senior Member
- Apr 16, 2017
- 116
- 74
Tamaa ya mwanaume yaijaza dunia
Wewe una miaka mingapi kwani, na ilivyo kawaida baba akichepuka tunampongeza na ni sifa kwa familia lakini mama akichepuka ni aibu kwa familia.Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.
Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.
Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu
Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
unacheka kimahabaa hatariHa ha haaaaaaa
Hivyo eeehunacheka kimahabaa hatari
hapo poa sanaa alafu nikupe kile nilichowaficha wengine kisichoonekana hivyo hovyo ......lakini mpaka ukinifikisha kibiti ndio utapata ...sio usihie mbagara useme umechoka😀😀😀Heeeeee hutaniwi![]()
![]()
![]()
aiseeee kupendwa Raha ,,toka nipendwe weee nikiboko yao ,,unajua kunipenda mpaka najiogopa mpenzi... nataka jion Leo nikubebe ivi
![]()
alafu nikuzungushe kuanzia gongo lamboto ...mbagala ,kibiti ,,kinsevule![]()
![]()
![]()
hapo vipi mpenzi ??.
Mmmhhh weee mwenyewe unanijua ,, sasa kukuweka kwa mgongo had I hapo kibiti nishindwe baby ???? Haaaaa wapi ,,hata km ukisema mpaka mtwara ,,nitakupeleka tu mama ,,ili mradi unipe !!!.hapo poa sanaa alafu nikupe kile nilichowaficha wengine kisichoonekana hivyo hovyo ......lakini mpaka ukinifikisha kibiti ndio utapata ...sio usihie mbagara useme umechoka😀😀😀

Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.
Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.
Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu
Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?

Dada mimi ni mwanaume ndio lakini si mwenye tabia kama hizo.Huoni wanaume mwenzio huko juu wanavyosema mwanaume lazima ubadilishe radha hawa wapo kundi gani nao
Its call of nature young n beautfull...ni ngumu kuelewa ila trust me na wewe ukifika huo umri utamwelewa mzeeYahni nimeshindwa kumuelewa kabisaa
je mzee alikuona hapo dukani..Kusema kwa mama naogopaaaa mie bado mtoto
Yap ....ameniona ndioje mzee alikuona hapo dukani..
Acha tuzimalize maana na utumu ni uleleMtamaliza bucha nyama ile ile
Ckuiz mtu akishakuweka ndani walaa hupambani naee ndoa yenyewe katolikii aaahh...kero ikizd na wewe una kiben10 chako siku zinaendaa..Masoud Kipanya: Hakuna mwanaume Anayeridhika na Mwanamke mmoja. ....Ukiona katulia na mmoja basi ana matatizo au uchumi umekaa vibaya
“Hakuna mwanaume anaependa kuwa na mwanamke mmoja,na hiyo ndiyo huruka ya uanaume,tunajizuia tu kwa sababu!! hivyo kwa mfano kwa wenzangu wakristo utaratibu unawazuia lakini angalia vidumu vilivyo nje unaona eeehh??"
Kukiwa na warembo 100, mwanaume akiambiwa achague mmoja atafanya hivyo. Lakini moyoni itamuuma wale wengine 99Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.