Wanaume mnataka mgundue nini

Wanaume mnataka mgundue nini

Wanaume huwa tunatamani sana.Sometimes unamtamani demu mbovu kuliko hata wife

Issa natural thing
 
Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.

Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.

Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu

Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?

Dah!!mbona kwa kizazi hichi hicho nikitu cha kawaida sana, especially dar!!
 
Even old goats like to eat green leaves. Unataka mbuzi mzee ale majani makavu tuuu.
 
Halafu wanawake wa ajabu sana ungemkuta mzungu babu na kabinti 17 ungemsifia ila mweusi mwenzio nongwa. Ooooops.
 
Hawa viumbe hata wangeruhusiwa kuoa mia bado wangetamani tu wengine. Hulka ya binadamu ni kutamani kile asichokuwanacho, hivyo ukiweza kuishinda tamaa basi hauna hata haja ya kuwa na wake rundo. Katika hili ninawaelewa sana wakristo maana walitumia maarifa sana.
 
Acha Wivu,,, Ukitaka kujua wanaume wanataka kugundua nn, ni pale anapokuja kwako tena kuomba mchezo wetu ulee, Ukikataka tuu, anakwambia kwanza sio mwanangu halisii, atakupa ahadii nyingiiii utakubali, hapo ndo utajua "No one can stop reggae"

~~Ukiona hajakufata ujue we ni zombiii, huna vigezo kwakee
Hahaha mkuu taratibu anaweza kujinyonga mtoto wa watu muulize kwanza kabila gani
 
KUMBE BABA AKO WA KAMBO UNATAKA AKUGONGE WEWW NINI?!! MBNA KUSIKIA WIVU KWA MAMA AKO WA KAMBO?! MUHESHIMU NA UKUMBUKE "NDOGO INTIGHT VIZURI NA INA JOTO TAMU. NYAMA YA BATA TAMU KULIKO YA KUKU.
 
Katika mizunguko yangu jana maeneo ya kariakoo katika pilika zangu za hapa na pale kama unavyojua kariakoo na pilika hizi za x mass.

Daaaah si ndio kuna duka moja nimeingia sijaamini nilichokiona.titifortati na baba yangu wa kufikia ana kimwali katoka kukifanyia shopping umri wangu nimejisikia aibu sana kwa hili tukio.kweli kwa umri wa yule mzee wa kuwa na binti wa umri wangu Mimi jamanii.

Ni baba yangu wa kufikia/wakambo hata hivyo ana wake wawili ambae ni mama yangu na mke wake mwingine sasa Ina maana wake wote wawili wameahindwa kumlidhisha au ndio wazimu tu

Wanaume nyingi mungu anawaona.Hapa nilipo nimepanga sitaenda kiwatembelea mpaka ifike miezi mitatu mbele.kwani unataka mgundue nini?
hilo swali kamwulize msando.....kwa umri ule na mke mzuru yule bado anashika mbunyye ya gigy money mbele ya kamera...wanawake naomba toeni msaada mkampe opportunity msando ashike nyeti za wanawake rundo hadi achoke ili ushamba umtoke.
 
Back
Top Bottom