Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa

Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu.
Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti....
Kwaio kama mko wachache sisi tupo wengi ndio mnataka mkiwa na mwanamke awabembelezeni kama anamnyamazisha mtoto mdogo??? Kwa maana kwamba hawezi kupata mwanaume mwingne au
Shit sifanyi huo ujinga, hata kama mko wachache me napiga chini sina mda wa kubembeleza mtu, mda mwingne mnatumia udhaifu wetu kwamba tunahuruma sijui tunasamehe haraka sijui me sielewi. Basi mwanaume akijua ndio anaekuweka mjini ndio baaasi tena anataka akuendeshe weeee kama gari bovu. Heheheeee hapa utajuta kwenda zako kule......
Hii tabia mjirekebishe. Unakuta mwanaume anatamba kwa rafiki zake eti "huyu demu HAKUNJUI hapa" kwamba nguvu za kukunjua sina au? Acheni sifa za kijinga mda mwingne amefanya kosa yeye lakin anataka umuombe msamaha wew looo!!!! Hii siielewi hata kama ndio mahaba niue hapa BIG NO!!. Acheni kutuone jaman
Halafu mkiachika mnarudi na thread zenu za kutafuta SPEMU DONA... kwamba umeshatendwa sana... wakati unajuwa kabisa kwenye kutendwa kuna nafasi yako pia
 
Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa

Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu.
Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti....
Kwaio kama mko wachache sisi tupo wengi ndio mnataka mkiwa na mwanamke awabembelezeni kama anamnyamazisha mtoto mdogo??? Kwa maana kwamba hawezi kupata mwanaume mwingne au
Shit sifanyi huo ujinga, hata kama mko wachache me napiga chini sina mda wa kubembeleza mtu, mda mwingne mnatumia udhaifu wetu kwamba tunahuruma sijui tunasamehe haraka sijui me sielewi. Basi mwanaume akijua ndio anaekuweka mjini ndio baaasi tena anataka akuendeshe weeee kama gari bovu. Heheheeee hapa utajuta kwenda zako kule......
Hii tabia mjirekebishe. Unakuta mwanaume anatamba kwa rafiki zake eti "huyu demu HAKUNJUI hapa" kwamba nguvu za kukunjua sina au? Acheni sifa za kijinga mda mwingne amefanya kosa yeye lakin anataka umuombe msamaha wew looo!!!! Hii siielewi hata kama ndio mahaba niue hapa BIG NO!!. Acheni kutuone jaman
dada utajiumiza moyo bure tu hii hali ya mwanaume kuwa na nguvu na ushawishi kuliko we mwanamke inakuja tu automatically yaan kama vile mwanaume kukojoa akiwa amesimama na mwanamke kukojoa uku amechuchumaa hahahhahahah kidumu chama cha wanaumeeeeeeeh........
 
Mmeniamsha na huu uzi wenu wa mwaka 47 nimechekaje khaaa sio kwa ufukunyuku huu.. thread closed[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
na bunduki unaweka ili iweje sasa kama mtu hawezi ujue hawezi tu hata kwa mtutu
Sijaelewa mamii naona mnaongea kwa mafumbo,yaani unabembeleza kama anashindwa kuendesha gari au jongoo amegoma?,maana mwenzio amesema bunduki anaweka pembeni,halafu anabembeleza weee.
 
seriously????.......
Manka kwanza natanguliza shukurani kwako mrembo,pili nina mtaalamu wa kutibu mambo ya mapenzi endapo mtu wako anakusumbua,niko tayari kukupa MATEKINIKI huko PM pamoja na VIKOROMBWEZO ili uweze kumdhibiti huyo mpenzi aweze KUKUBEMBELEZA wewe kwa saana tena saaaana.
 
vindevu heheheeee kama kidevu cheupe je
Kidevu cheupe lazima kiambatane na fedha bhana,kama hana fedha njoo kwetu sisi VISERENGETI boys tutakupa ile kitu taamu roho inapenda,tena tunanukia PERFUME ghali tulizonunuliwa na mama sukari au vipi?
 
Eti eee bas training inahitajika
maana wenyew wanasema ukimbembeleza sana mwanamke analeta mashauzi eti atajisikia sana ila wao ndio wabembelezwe sasa niki kifanyike hapo
Anti mbona huwa tunawabembeleza hadi tunahudumia familia yenu yoote?,wewe ukikohoa tu mimi nauliza nini honey?,unaniambia mdogo wangu kafungwa kesi mbaya sana,mimi namwaga pesa na naacha shughuli zangu na ndugu zangu wana shida na hawana msaada wowote,lakini napigania mpaka mdogo wako anatoka kwa bei mbaya na mtaji nampa anaanza maisha,nawajengea wazazi wako nyumba na kuwaweka katika maisha bora bila upungufu wowote,matibabu yao Ujerumani na States,bila kusahau sisters wako woote nawasomesha nje ya nchi na nawapa gharama zoote za kujirusha kwa jet set life style kule UK,wewe mwenyewe unaishi na mimi huku nimekujengea estates mbili Mikocheni na unapokea us dollars kibao kila mwaka,unasafiri kwenda nje ya nchi kila mwezi kwa ajili ya ku maintain your body na kupata beauty therapy huku ukienda shopping RODEO DRIVE usa ili kuwa level moja na top dogs,anyway nachoambulia ni nini?,au ni hiyo sex tu?,hapana nataka more than that baby,nikiwa na wewe ni lazima ufanye effort kuhakikisha najisikia nipo na kiumbe kizuri kwa nje na ndani,siyo kiumbe kizuri nje tu,kinapendeza na matako na boobs na sura inavutia na sex taamu na kulia lia kama mtoto mchanga huku ukiniuma shingoni,hiyo yoote ni bure,nataka uwe na roho na moyo wa huruma wa kunibembeleza kuliko mtoto wako mchanga au vipi?,vinginevyo life is too short na wanawake ni wengi kupita kiasi na wengi ni wazuri nashindwa kuelezea.
 
B
Mmeniamsha na huu uzi wenu wa mwaka 47 nimechekaje khaaa sio kwa ufukunyuku huu.. thread closed[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mrembo usijali,mambo yaliokukuta ni ya mpito tu au vipi?,na inaonesha mpenzi wako pochi imepungua kidogo au amefulia kwa kiasi fulani,hata hivyo pesa zina mawio na machweyo,vuta subira pesa zikijaa tena hutaona tabu kumbembeleza,maana pesa ndio zitakufanya umpetipeti kwa sana,ukweli ndio huo na hatutokuona tena jukwaani hapa tena iwapo baby wako atakuwa loaded kifedha,utakuwa busy kumuhudumia.
 
hizo ndio tunaita chachu ama viungo vyake
Kumbe unajua mamii?,sasa lawama za nini?,au baby wako amefulia ndio leo unakuja kumuanika hapa?,usikasirike au kujibu kwa jazba kama unataka rai yetu.
 
shauri yangu
bt na nyie jifunzeni kubembeleza ati
Nakupa fedha,nakujengea mavitu makubwa,nawajengea wazazi wako,nawahudumia wazazi wako,nawapa mitaji kaka zako,nawasomesha madada zako nje ya nchi,nawagharamia mpaka dhahabu wanazovaa,nawafanyia harusi za maana na waume zao nawapa mitaji,sijui unataka nikubembeleze vipi?,au labda unataka nikuruhusu ukatiwe nje ndio kukubembeleza usie na shukurani.
 
This applies both ways mi mwenyewe napenda kubembelezwa!fact ni kwamba huyo ulompata kuna uwezekano hajakupenda au hakujali au wewe hujamtia moyoni haswa ndo maana unaona unasumbuka sana!!lkn ukimpenda mtu aisee huoni shida kubembeleza!!
We mrembo,kumbuka kwamba pesa duniani ndio kila kitu,mwanaume akiwa loaded sawa sawa basi hakuna mwanamke atona uvivu kumbembeleza,lakini mwanaume huyo huyo akifulia basi ujue hakuna mwanamke atakuwa tayari kumbembeleza,hiyo inaitwa LAW OF UNIVERSE,coz kama huna kitu unakuwa humvutii mtu yeyote kwa chochote katika wakati wowote,sababu kubwa ikiwa ni kupata au kujiongezea kutoka namna yoyote iwayo,kama hamna kupata basi hakuna kiumbe chenye fahamu kikatafuta njia ya kukosa,sababu kila nafsi inataka maongezeko na sio mapungufu au vipi?,ok tukubali kwamba unaemlalamikia yaani baby wako kwa sasa hana kitu,kwa hiyo LAW OF UNIVERSE inakwambia unahangaika bure tu coz huyo unaemuhangaikia hana kitu in return of your favour au vipi?,coz binadamu wote tunataka give and take na siyo vinginevyo,ndio tulivyo binadamu ni MASLAHI TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU.
 
Siwezi kuwacha niliyofunzwa,nitambembeleza kwa mahaba mazito,akinikosea nitazungumza nae kwa machoz shavuni nimuombe aniwie radhi nilipokosea na kufanya anikosee..hata akitoka nje ya ndoa nitampigia magoti nimuombe asirudie tena tutunze heshima ya pendo letu..nitambembeleza daima kwa sababu nampenda,
Inaonesha huyo wako ana fedha nyingi saana,vinginevyo ungekuja humu kumtukana,wewe unaesema utamuuliza sijui utambembeleza au vyovyote,akifulia utabaki hivyo hivyo kama mwanzo?,wanawake acheni unafiki bhana.
 
ukweli unawauma tatizo hawakubali ukweli mfumo dume bado ni tatizo
Unamuona ana mfume dume kwa sababu KAFULIA au vipi?,angekuwa bado ana fedha hata humu jukwaani tusingekuona kabisa,ungekuwa unamkaangia mavuzi ili azidi kukupenda au vipi? wanawake acheni unafiki bhana coz mnaangamiza dunia hii kwa maslahi yenu,akiwa na pesa ooh my honey,akiwa kafulia ooh mchafu,mvivu,ananitumia bure tu,hana maana,kwanza ana sura mbaya,ananitesa tu,napoteza umri wangu bure tu,yaani nachoka kuhudumia jitu kama hili,nashindwa hata kuchamba matako yangu ,lijitu linalala na kulewa tu,hana hisani namlelea mtoto wake,mama yangu kasema nimkimbie,baba yangu kasema nakaa na jambazi,mimi mwanamke natamaniwa na wanaume wengi,ananipotezea nafasi ya kupendwa na wanaume wa maana,matajiri wananitaka,juzi nimetongozwa na mtoto wa tajiri,kwanza siku hizi hasimamishi kabisa anantia vidole tu,mimi mwanamke nahitaji mwanume wa kunitolea nyege zangu,huyu amelegea kazi kuomba omba kwa marafili etc,etc,etc,,,.,...,....,....forever,wanawake mmelaanika na mtaendelea kulaanika na mwisho mnaishia kuuza vitumbua au kuwa jamvi la wageni,au kutombwa tombwa na walevi wa gongo,sababu ni wabaya mwanaume AKIFULIA,.,.,.,.,.perioooooood
 
Back
Top Bottom