Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa

Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu.
Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti....
Kwaio kama mko wachache sisi tupo wengi ndio mnataka mkiwa na mwanamke awabembelezeni kama anamnyamazisha mtoto mdogo??? Kwa maana kwamba hawezi kupata mwanaume mwingne au
Shit sifanyi huo ujinga, hata kama mko wachache me napiga chini sina mda wa kubembeleza mtu, mda mwingne mnatumia udhaifu wetu kwamba tunahuruma sijui tunasamehe haraka sijui me sielewi. Basi mwanaume akijua ndio anaekuweka mjini ndio baaasi tena anataka akuendeshe weeee kama gari bovu. Heheheeee hapa utajuta kwenda zako kule......
Hii tabia mjirekebishe. Unakuta mwanaume anatamba kwa rafiki zake eti "huyu demu HAKUNJUI hapa" kwamba nguvu za kukunjua sina au? Acheni sifa za kijinga mda mwingne amefanya kosa yeye lakin anataka umuombe msamaha wew looo!!!! Hii siielewi hata kama ndio mahaba niue hapa BIG NO!!. Acheni kutuone jaman

wewe peleka umachame wako huuukooo... wenzako watakusaidia kulea...
 
baelezeeee dada, maana wao wanafikiri mwanamke haitaji kudekezwa, anapenda, ila ukaidi na ubinafsi wao tu! afu wakaliii...!
 
Hawa ndo wale wale kina Ufoo Saro,hawana mapenz ya dhati wao pesa ndo kila kitu,haya mamaaa akikukosea huyo anaekuweka mjin mpeleke polis kwanza ili apokonywe bastola yake asije dhuru mdau mwgne make nyie kna Manka akil hamna
 
Eti eee bas training inahitajika
maana wenyew wanasema ukimbembeleza sana mwanamke analeta mashauzi eti atajisikia sana ila wao ndio wabembelezwe sasa niki kifanyike hapo
This applies both ways mi mwenyewe napenda kubembelezwa!fact ni kwamba huyo ulompata kuna uwezekano hajakupenda au hakujali au wewe hujamtia moyoni haswa ndo maana unaona unasumbuka sana!!lkn ukimpenda mtu aisee huoni shida kubembeleza!!
 
Hawa ndo wale wale kina Ufoo Saro,hawana mapenz ya dhati wao pesa ndo kila kitu,haya mamaaa akikukosea huyo anaekuweka mjin mpeleke polis kwanza ili apokonywe bastola yake asije dhuru mdau mwgne make nyie kna Manka akil hamna

Kiboko unanitibua inakuaje useme kina manka hatuna akili????
 
Siwezi kuwacha niliyofunzwa,nitambembeleza kwa mahaba mazito,akinikosea nitazungumza nae kwa machoz shavuni nimuombe aniwie radhi nilipokosea na kufanya anikosee..hata akitoka nje ya ndoa nitampigia magoti nimuombe asirudie tena tutunze heshima ya pendo letu..nitambembeleza daima kwa sababu nampenda,
 
baelezeeee dada, maana wao wanafikiri mwanamke haitaji kudekezwa, anapenda, ila ukaidi na ubinafsi wao tu! afu wakaliii...!

ukweli unawauma tatizo hawakubali ukweli mfumo dume bado ni tatizo
 
hizo ndio tunaita chachu ama viungo vyake

eti eeeh!

haya chukua million dollars!

million-dollar-ideas.jpg
 
Siwezi kuwacha niliyofunzwa,nitambembeleza kwa mahaba mazito,akinikosea nitazungumza nae kwa machoz shavuni nimuombe aniwie radhi nilopokosea na kufanya anikosee..hata akitoka nje ya ndoa nitampigia magoti nimuombe asirudie tena tutunze heshima ya pendo letu..nitambembeleza daima kwa sababu nampenda,

aiseee!!!!!
 
This applies both ways mi mwenyewe napenda kubembelezwa!fact ni kwamba huyo ulompata kuna uwezekano hajakupenda au hakujali au wewe hujamtia moyoni haswa ndo maana unaona unasumbuka sana!!lkn ukimpenda mtu aisee huoni shida kubembeleza!!

sisumbuki hata hilo ni wazo tu nililonalo na mara nyingi hutokea kwa wengi so ishu nikubalance kama hiyo itashindikana hatua zitachukiliwa
 
Back
Top Bottom