Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

Wakati mwingine hata ubembeleze vipi situation inabaki hivyo hivyo.
Jamani mpenzi chukua basi na hii roho yangu uwe na mbili,A wapi kama mtu ashaamua kivyake hata ubembeleze vipi haisaidii
Sometimes ni vizuri kujua when to bembeleza and when not to.
We ni she au he tafadhali.
 
eti wanaume wako wachache kwaio tukiwapata tuwapetipeti na kuwabembeleza hata kama ni nya uongo ndio wanavyotaka situation nyingne sio ya kubembelezwa bt anataka iwe ivo ili kichwa kipasuke sijui
Basi tulia utapata BUZI jingine bhana.
 
He he he lol
Kumbe unapenda kukatikiwa kiuno?,basi ungeni beep basiiii?,maana unachekelea au vipi?,tena mimi nina ushanga kiunoni na unaparua mavuzi yetu wawili wakati tunananiliu au vipi?,tena nakumiminia moto moto hata kwenye kitovu na mdomoni,ni chaguo lako tu mamii au vipi?
 
Mim wangu huwa nambembeleza huku namnyonyesha,sasa siku nyingine mud ya kubembeleza hua haipo namchunia akianzisha kelele,na mim naanzisha kesi yoyote hata kama ni ya zamani
Unamnyonyosha UTOKO ndio unafurahi au vipi?,hivi nyie mademu hamna huruma?
 
ohoooo honi imepigwa.
Hii ID imekuwa gumzo au kibebeo cha hoja ama??
Maana hoja hii haiendani na kile mnachokihusisha bt any way umeeleweka sana i wll try 2 work on dat even if its hard iwll do the best i can. Woohhh mmmmhh.
Yaani umenipa mshawasha hapo ulipomalizia na WOOHHH MMMMH,ni kama vile umefika mshindo,duuh yaani orgasm,yaani umetoa ile ya kikweli kabisa woohhh mmmmh.
 
hakuna muda wa kumbembeleza mwanaume..manka M tafuta pesa ndo heshima yetu pesa ndo kipaumbele cha mchaga,,mwanaume anakuja nyuma ..ukianza kuhangaika nao sahizi utakufa na presha bure ..mi nazisaka hela mwisho wa siku familia yangu na wanangu waje waenjoy..umesikia mankM badilika dear wangu,,hela kwanza mwanaume badae
Inaonekana umekatwa antena.
 
Kama kweli unampenda toka moyoni utabembeleza tu,yaani hata akikukosea utaomba msamaha,alaf ndo wanachopenda,na ukitaka umkamate vizuri we bembeleza tu mbona hawa viumbe hawanaga ujanja mbele yetu,bembeleza tu mmy ndo raha yao.
Njoo PM basi mamii ili uwe baby au vipi?
 
Tuache utani jamani, yaani hakuna raha kama kubembelezwa na mwanamke, yaani inakuwa kama vile mama ambelelezapo mtoto kumeza dawa. Raha kweli, natamani kubembelezwa hapa nilipo
 
Inaonesha huyo wako ana fedha nyingi saana,vinginevyo ungekuja humu kumtukana,wewe unaesema utamuuliza sijui utambembeleza au vyovyote,akifulia utabaki hivyo hivyo kama mwanzo?,wanawake acheni unafiki bhana.
usilolijua ni usiku wa giza.
 
Back
Top Bottom