Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

Ikiwezekana unashika shika na vindevu kwenye kidevu[/QUOTE]

Wanaipenda sana hii.
 
Ni kweli wanaume tunapenda bembelezwa lakin mara nyingi raha ya kubembelezwa hua anaipata mbembelezaji hasa kama anamaanisha.
 
Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa

Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu.
Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti....
Kwaio kama mko wachache sisi tupo wengi ndio mnataka mkiwa na mwanamke awabembelezeni kama anamnyamazisha mtoto mdogo??? Kwa maana kwamba hawezi kupata mwanaume mwingne au
Shit sifanyi huo ujinga, hata kama mko wachache me napiga chini sina mda wa kubembeleza mtu, mda mwingne mnatumia udhaifu wetu kwamba tunahuruma sijui tunasamehe haraka sijui me sielewi. Basi mwanaume akijua ndio anaekuweka mjini ndio baaasi tena anataka akuendeshe weeee kama gari bovu. Heheheeee hapa utajuta kwenda zako kule......
Hii tabia mjirekebishe. Unakuta mwanaume anatamba kwa rafiki zake eti "huyu demu HAKUNJUI hapa" kwamba nguvu za kukunjua sina au? Acheni sifa za kijinga mda mwingne amefanya kosa yeye lakin anataka umuombe msamaha wew looo!!!! Hii siielewi hata kama ndio mahaba niue hapa BIG NO!!. Acheni kutuone jaman

Hakuna kitu huwa nachukia kama kubembelezwa maana huwa nahisi ni Kejeli na vitu vinavyofanana na ivo
ni Onyo!
 
kweli jf kiboko,hii mada imenichekesha sana,sie wengine ni uso wa mbuzi aanze wapi kutaka kubembelezwa???:tape:
 
Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa

Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu.
Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti....
Kwaio kama mko wachache sisi tupo wengi ndio mnataka mkiwa na mwanamke awabembelezeni kama anamnyamazisha mtoto mdogo??? Kwa maana kwamba hawezi kupata mwanaume mwingne au
Shit sifanyi huo ujinga, hata kama mko wachache me napiga chini sina mda wa kubembeleza mtu, mda mwingne mnatumia udhaifu wetu kwamba tunahuruma sijui tunasamehe haraka sijui me sielewi. Basi mwanaume akijua ndio anaekuweka mjini ndio baaasi tena anataka akuendeshe weeee kama gari bovu. Heheheeee hapa utajuta kwenda zako kule......
Hii tabia mjirekebishe. Unakuta mwanaume anatamba kwa rafiki zake eti "huyu demu HAKUNJUI hapa" kwamba nguvu za kukunjua sina au? Acheni sifa za kijinga mda mwingne amefanya kosa yeye lakin anataka umuombe msamaha wew looo!!!! Hii siielewi hata kama ndio mahaba niue hapa BIG NO!!. Acheni kutuone jaman

wewe huyo mwanaume wako hajakushika pabaya ndio maana unabwabwaja maneno mfano mzuri ni kwa diamond cheki anavyowagegeda wanajipelaka wenyewe mara wema,mara jokate,wolper,penny, na wengine kibao tatizo sio kubembelezwa ni kwamba tanawaridhisha,tunawashika pabaya mpaka mnaweweseka,tunawapiga mashine vizuri.
 
wew ni kati ya waleee marioo.... Hizo pesa zenyewe huna utabembelezwaje

We ndo wa tatu unaefTia na hakika ww Risasi haitokukosa kamwe make kama somo tayar kina ufoo washapewa,kazi kitandan hamuwez kaz uchawi tu na wiz wa pesa,sasa ww subr ubembelezww uje ukutane na kauz kama nn mamaaangu eee utarud machame kwa ----
 
Aisee wewe............haya bana. Uko bize sana au sio?? !! Sio mbaya endelea kuwa bize tu kwani nini bana!
 
Mim wangu huwa nambembeleza huku namnyonyesha,sasa siku nyingine mud ya kubembeleza hua haipo namchunia akianzisha kelele,na mim naanzisha kesi yoyote hata kama ni ya zamani
 
kubembeleza kwa kunyonyesha??? Hii inakuaje
 
Hakuna kitu huwa nachukia kama kubembelezwa maana huwa nahisi ni Kejeli na vitu vinavyofanana na ivo
ni Onyo!

kwaio wew hupendi au unaona michosho
 
We ndo wa tatu unaefTia na hakika ww Risasi haitokukosa kamwe make kama somo tayar kina ufoo washapewa,kazi kitandan hamuwez kaz uchawi tu na wiz wa pesa,sasa ww subr ubembelezww uje ukutane na kauz kama nn mamaaangu eee utarud machame kwa ----

bwana wee naona unaniingizia mbu kwenye net
 
wewe huyo mwanaume wako hajakushika pabaya ndio maana unabwabwaja maneno mfano mzuri ni kwa diamond cheki anavyowagegeda wanajipelaka wenyewe mara wema,mara jokate,wolper,penny, na wengine kibao tatizo sio kubembelezwa ni kwamba tanawaridhisha,tunawashika pabaya mpaka mnaweweseka,tunawapiga mashine vizuri.

anishike pabaya tena??? Ooh mashine inapigwa vizur sana
 
Habar ya jion wapendwa bila shaka mko poa

Hapa nimekuja na hii mada ya hawa wanaume zetu.
Kuna hii kitu huwa inaniboa sana eti wao wawe wanabembelezwa weee ndio wanachotaka asa hawajui kama kuna mambo mengi ya kufanya na sio kubembelezana. Inasemekana nyie wanaume mko wachache eti....
Kwaio kama mko wachache sisi tupo wengi ndio mnataka mkiwa na mwanamke awabembelezeni kama anamnyamazisha mtoto mdogo??? Kwa maana kwamba hawezi kupata mwanaume mwingne au
Shit sifanyi huo ujinga, hata kama mko wachache me napiga chini sina mda wa kubembeleza mtu, mda mwingne mnatumia udhaifu wetu kwamba tunahuruma sijui tunasamehe haraka sijui me sielewi. Basi mwanaume akijua ndio anaekuweka mjini ndio baaasi tena anataka akuendeshe weeee kama gari bovu. Heheheeee hapa utajuta kwenda zako kule......
Hii tabia mjirekebishe. Unakuta mwanaume anatamba kwa rafiki zake eti "huyu demu HAKUNJUI hapa" kwamba nguvu za kukunjua sina au? Acheni sifa za kijinga mda mwingne amefanya kosa yeye lakin anataka umuombe msamaha wew looo!!!! Hii siielewi hata kama ndio mahaba niue hapa BIG NO!!. Acheni kutuone jaman

Red bolded statements zinaonyesha vitu 2
1. U are socially frustrated, kuna yaliyokukumba na ndo mana wataka wamislead wenzako ambao ndoa zao zinatiririka kwa furaha upendo na amani, na kubembelezana ni sehemu ya hayo.
Kama haujakumbwa na makubwa then;
2. Una perceptions hasi na love war mentality, kwamba kuna watu naturaly wanachukulia mapenzi ni vita kati ya mwanaume na mwanamke, although wanaweza kupenda ila ever wataishi kivita vita kwenye nyumba.

So analysis yangu inaonyesha ni kati ya hayo mawili but the second ndo nalipa nafasi zaidi kutokana na ID yako, kama kweli wewe ni Manka, hivi ndivyo wasichana/wanawake wa kibosho/machame mlivyo naturally unless mfanye kazi sana kuchange hili, na wengi wenu linawatesaga sana lakini hamtakagi kukubali ukweli na kufanya kazi against that sort of nature. Ila siku hizi wengi wamejitambua na wanapigana sana na hii nature except wachache kama wewe.

Cure
Kwanza pole kwa kuwa victim then fanyia kazi mentality yako, au kuondokana na past experience yako as far as love is concerned, kwani kwa ilivyo sasa ni either utamtesa utakayekuwa naye kwani atakomaa coz anakupenda, au atatafuta mapenzi n u know what I mean.

Angalizo
Ni ngumu sana kuukubali huu ukweli ila ndo hivyo, work on that MankaM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom