Wanaume mnapenda sana kubembelezwa eee!!!!

Wakati mwingine hata ubembeleze vipi situation inabaki hivyo hivyo.
Jamani mpenzi chukua basi na hii roho yangu uwe na mbili,A wapi kama mtu ashaamua kivyake hata ubembeleze vipi haisaidii
Sometimes ni vizuri kujua when to bembeleza and when not to.
 
eti eeeh!

haya chukua million dollars!

million-dollar-ideas.jpg

kheee umeamua utoe pesa loo!!! Na ubahili ulonao me sioni ndani
 
Mamdogo umeachika? Pole ila ujirekebishe, HAKUNA usawa kati ya mwanaume na mwanamke..kama wewe unataka ivo kuna wenzako wanalamba miguu...
 
Wakati mwingine hata ubembeleze vipi situation inabaki hivyo hivyo.
Jamani mpenzi chukua basi na hii roho yangu uwe na mbili,A wapi kama mtu ashaamua kivyake hata ubembeleze vipi haisaidii
Sometimes ni vizuri kujua when to bembeleza and when not to.

eti wanaume wako wachache kwaio tukiwapata tuwapetipeti na kuwabembeleza hata kama ni nya uongo ndio wanavyotaka situation nyingne sio ya kubembelezwa bt anataka iwe ivo ili kichwa kipasuke sijui
 
Mamdogo umeachika? Pole ila ujirekebishe, HAKUNA usawa kati ya mwanaume na mwanamke..kama wewe unataka ivo kuna wenzako wanalamba miguu...

akuuu sijaachika wala me mejisemea tu
 
Kwani kumbembeleza mwanaume wako ni sh ngapi? Mie tu huwa naweka binduki pembeni, nabembeleza weeeh nabembeleeeza weeh hadi anakoma. Bembeleza bwana, acheni uvivu nyie mabinti.

Mh....
Afadhali weumemtoa tongotongo, maaana!!!
 
Kiboko unanitibua inakuaje useme kina manka hatuna akili????

We hupend mtu,unapenda pesa akil huna ndio mwisho wa sku mnaaanza uwana kwa miwivu ya kijinga,tutabadili sheria sasa hata ukitumia hovyo mali za mmeo ufungww jela tuone kama kina Manka,ufoo mtaendeleza tabia zenu hzo
 
wew ni kati ya waleee marioo.... Hizo pesa zenyewe huna utabembelezwaje
 
eti wanaume wako wachache kwaio tukiwapata tuwapetipeti na kuwabembeleza hata kama ni nya uongo ndio wanavyotaka situation nyingne sio ya kubembelezwa bt anataka iwe ivo ili kichwa kipasuke sijui

kwa takwimu za mwaka jana,,,hapa dar es salaam kwa kila wanawake 100,kuna wanaume 95....
 
kuna uwezekano mkubwa ukawa hujui nn mapenzi,but kama ungejua usingeogopa kubembeleza

sijui kama umeelewa vizuri uzi uo sio kwamba siwez na sio kwamba sijui ishu ni wakati gan wa kufanya hivo sio kila mda loo!! Mambo mengi yakufanya
 
Back
Top Bottom