Wanaume mnaopenda Mpira

Wanaume mnaopenda Mpira

Ahahaah. ndiyo raha yake ya kuwekena mkono. lazima upate cha kusimulia kesho. Kubwa zaidi, katika yote, midadi ya kukosa goli katika timu pinzani, asikwambie mtu midadi yake. vyupa vinapata shida kwenye tiles, mara paaaaa.
nimechokajeee
 
Kwa hapa umekosea, mama yangu mzazi ndie aliyenishawishi nipende kuangalia mpira nikiwa na miaka 8 japo mwenyewe haupendi hata kidogo ila aliniambia mwanaume asiyependa mpira hajakamilika.
 


Nimemind ila sikupigi wala nn
b96ba14b5d3448d482fff632f8ed28eb.jpg


I love football, general banter, ukimind nipige
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom