Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
- Thread starter
- #141
Sijasema hivyo mkuuWewe unafikiri mwanaume anafikiria 24 hrs papuchi tu hana hobby zingine za kufanya Mpira, Darts etc.
Sijasema hivyo mkuuWewe unafikiri mwanaume anafikiria 24 hrs papuchi tu hana hobby zingine za kufanya Mpira, Darts etc.
Bathi thawaaaaaaBora ungesema kitu kingine ila sio mpira
Udumu milele. Nimekupenda bure walah. Mpira dakika 90 na ndoa ipo mda wote hadi kifo. Kuku wa kwako manati ya nn?
Sent using Jamii Forums mobile app

Aiseee. Mpira! Soka! Akitaka aende, tena Arsenal, arsenal ya UNBEATEN, acha kabisa! Mpira mtamu nyie!
Sent using Jamii Forums mobile app

Bao la mpira tamu kuliko bao la kitandani, hata awe na viuno vya kimakonde
Sent using Jamii Forums mobile app

Shikamoo sambusa kavuNaona mtoa mada anafananisha mpira na mambo ya kijinga
Dah..nilivyoona neno mpira nikaja kasi sana........badilisha heading bana.....soka ingefaa Zaidi 😀😀😀😀😀
uliwaza mbaali fyuuumbaaafyuuuSikuju km huwa humpendi kiasi hicho...!
Mpira ni mke mwenza.
hii Kali MWe!SijakuelewaUshukuru hata kwenye Mpira anaenda.
Hapo sasa...
ila kwenye mipira huko muangalie mpira tu mrudi nyumbani

GoodWakati wewe umemuacha mkeo na kwenda kuangalia mpira kuna watu nao wapo na mkeo wanacheza nae mpira.......

Doo

Haya weeeNdio
Sawa banaaNilianza kupenda Mpira Kabla hata shule sijaanza. Kwahiyo yeye asubili tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh!Nimeupenda mchexo wa soka ( football) Kabla sijabalehe. Football is my Love.
Mimi anajua kabisa na geti atanifungulia usiku mnene akitaka tuende wote Hakuna shida, kuna siku tuenda akajikuta analala kwenye gari
Sent using Jamii Forums mobile app

Aondoke tu nitamsaidia hata kukusanya visepe vyake.
I love football, general banter, ukimind nipige
Akikujibu nitag

Ndoa hiyooMwanamke ana wazim huyu yaani aombe talaka kisa nimeenda mpirani??hiyo ndoa au dating
Sent using Jamii Forums mobile app
