Mkuu tupe mbinu ya ku-control ndoto! Ndoto mara nyingi hutokea bila wewe kuamua. Ila hapo kwenye red umenichekesha.
Na mwanamke akiwa ndio anaota, kisha aka-upside down shuka lake wewe mwanaume utaota unafanya/unafanywa nini?
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha ujue
Nafikir utaota unamdo huyo mwanamke
Lakini mjue gharama za matunzo na mizinga midogo midogo ipo constant msije kugeuza shuka halafu mje na malalamiko!!!!!!!
Onyo.; Mbinu hii ikishanasa haina ku -undo na ni irreversible! !!!!
Imefanyiwa utafiti na watu gani hao?
Unauliza nazi Kisiju? Na wazinzi kama mleta maada of course!
Mentor taarifa imepokelewa, nasubiri taarifa ya utekelezajiHahahahaha...uwiiiii Heaven on Earth dawa yako si hii...tiGO utanipa bila kupenda!!!!
Cc: Kaizer kwa taarifa
mi napenda mwenye akili ya kujaza wallet sio wallet peke yake km za mkopo je.! zikiisha tunatumbuliana mijicho ..lol.!
Isije ikawa kinyume tu...lol.
Ndio kitu gani hicho? sidhani kama ninakifahamu