Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

Kwa kuwa mimi ni mtu wa utafiti, nitafanyia utafiti hiyo kwenye red.
Mkuu kama umelala kwenye gari geuza seat cover tuu mambo yatakuwa poa kama kawa.
 
Mi nlisikiaga hzi story nilpokuwa olevel! Tena inawezekana ndibalema ndo ulinambia!
 

mmh usiwapeleke chaka wenzako! Wenye kujaribu wajaribu halafu warudi kutuambia nini kimeendelea
 
Some tafiti are very interesting!

Hapa nadhani kama hii mbinu ikonekana kuwa na uwezekano wa kufanya kazi basi nawaza kwamba ukitaka iweze kufanya kazi kwa haraka na uhakika zaidi, itabidi ugeuze kuanzia, shuka, godoro, na kitanda chenyewe! Hapo nadhani haitakuwa tena kuota bali atajileta mwenyewe kabla hakujapambazuka, au??
 
ndug. iyo kali xax yani kumbe ata wew. niwaiman finyu. hahahahahaaa! ma wichdoctar niweng xan. kumbe.
 
ndug. iyo kali xax yani kumbe ata wew. niwaiman finyu. hahahahahaaa! ma wichdoctar niweng xan. kumbe.
 
Hahaha...hahaha...Teknolojia ya Mwafrika majanga matupu!
 

Superstitions tu hizo....Shit doesn't get any realer !! Ni sawa na miaka ya nyuma ulikua unaambiwa kucha zako za mikononi zikiwa na vile vi alama vyeupe kipindi ukiwa bado mtoto ina ashiria utakuja kua na pesa nyingi ukubwani (tajiri). As you mature you get to know that success only comes after prayers, effort and working smart not harder !! Mi nakataa mpaka kesho kutwa !!!
 

Haha Haha technically speaking naunga mkono hoja!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…