Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

Wanaume mnaifahamu mbinu hii?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.

Mbinu ifuatayo inaweza kukusaidia.

Mara tuu unapostuka kutoka katika ndoto kama hiyo, haraka sana geuza shuka uliyoitandika kitandani kwako na ile uliyojifunika pia kisha endelea na usingiz wako.
Yani, shuka uliyoitandika itoe ule upande ulio juu uwe chini and vice versa, na ile shuka uliyojifunika vivyo hivyo.

Unajua nini kitatokea?

Na yeye yule uliyemuota muda huo huo kama yupo usingizini ataota exactly the same ndoto kama uliyoota wewe, yani ataota unamgegeda.

Kesho yake ukisha amka mtafute na usipitishe siku mwombe gemu, hakatai. hata awe nani hachomoki.

NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Kumbuka inafanya kazi kama na yeye mhusika kwa muda huo atakuwa amelala hivyo inashauriwa ifanyike wakati wa usiku.

woman-dreaming.jpeg
 
source please........
 
Mmmmh! labda kama na yeye akiwa anatamani lakn mwanaumea akawa muoga kutokana na muonekano wake lakn hauna mazoea naye au ni mke wa mtu hiyo njia sidhani kama itafanya kazi
 
Na mwanamke akiwa ndio anaota, kisha aka-upside down shuka lake wewe mwanaume utaota unafanya/unafanywa nini?
Pia inafanya kazi mkuu. nimesema wanaume kwa sababu utafiti unaonyesha kuwa wanaume ndio wanaota sana ndoto dizini hiyo.
 
Mmmmh! labda kama na yeye akiwa anatamani lakn mwanaumea akawa muoga kutokana na muonekano wake lakn hauna mazoea naye au ni mke wa mtu hiyo njia sidhani kama itafanya kazi
Mkuu ili mradi tuu huyo mwanamke awe anakufahamu vigezo vingine sio vikwazo kabisa.
 
Huwa sijawahi kuweka imani yangu kwenye ndoto.
 
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.

Mbinu ifuatayo inaweza kukusaidia.

Mara tuu unapostuka kutoka katika ndoto kama hiyo, haraka sana geuza shuka uliyoitandika kitandani kwako na ile uliyojifunika pia kisha endelea na usingiz wako.
Yani, shuka uliyoitandika itoe ule upande ulio juu uwe chini and vice versa, na ile shuka uliyojifunika vivyo hivyo.

Unajua nini kitatokea?

Na yeye yule uliyemuota muda huo huo kama yupo usingizini ataota exactly the same ndoto kama uliyoota wewe, yani ataota unamgegeda.

Kesho yake ukisha amka mtafute na usipitishe siku mwombe gemu, hakatai. hata awe nani hachomoki.

NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Kumbuka inafanya kazi kama na yeye mhusika kwa muda huo atakuwa amelala hivyo inashauriwa ifanyike wakati wa usiku.

woman-dreaming.jpeg

Mkuu... Je hii inaapply kwa wanawake pia??? kama ni ndio basi kuna member humu huwa naiota avatar yake. Nitadu ze nid ful afu nije nimpm!!!!!!!
 
Mkuu hakuna kitu kama hicho duniani, njia sahihi ya kumpata mwanamke yeyote umtakaye ni kuwa na uwezo wa kujiamini ukiwa mbele yake, usafi wako hasa mwili na mavazi, ustaraabu pamoja na kuwa na staha za kutosha. Yaanin ukiwa na hivyo vigezo halafu ukawa unajua kucheza na maneno matamu mdomoni mwako hakika utagegeda wengi sana. Hayo unayosema in uongo mtupu na huwezi kufanikiwa hata siku moja, acha kudanganya watu na mbinu zako za kishule ya msingi:faint2:
 
Huwa inatokea sana hasa kwa wanaume unapomtamani sana mwanamke na sometimes unaogopa kumwambia labda kwa kuhofia kuwa hauna hadhi au yeye ni matawi ya juu na wewe ni ya chini au sometimes kwa kumuonea aibu tuu huwa unaota unafanya naye mapenzi, mara unapostuka unagundua kuwa ni ndoto tuu na ungetamani iwe kweli lakini hubaki ni ndoto tuu.

Mbinu ifuatayo inaweza kukusaidia.

Mara tuu unapostuka kutoka katika ndoto kama hiyo, haraka sana geuza shuka uliyoitandika kitandani kwako na ile uliyojifunika pia kisha endelea na usingiz wako.
Yani, shuka uliyoitandika itoe ule upande ulio juu uwe chini and vice versa, na ile shuka uliyojifunika vivyo hivyo.

Unajua nini kitatokea?

Na yeye yule uliyemuota muda huo huo kama yupo usingizini ataota exactly the same ndoto kama uliyoota wewe, yani ataota unamgegeda.

Kesho yake ukisha amka mtafute na usipitishe siku mwombe gemu, hakatai. hata awe nani hachomoki.

NB: Mbinu hii imefanyiwa utafiti na imekuwa proved.
Kumbuka inafanya kazi kama na yeye mhusika kwa muda huo atakuwa amelala hivyo inashauriwa ifanyike wakati wa usiku.

Hahaa hahaa hii nadhani itaaply kwa mtu mnayefahamiana tu, na wanaume wengi huwa tunawatamani wanawake ambao kwanza hajawahi kukutilia maanani siku ulipomuona achilia mbali kukukumbuka
 
Back
Top Bottom