Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

Demiss tatizo unamuacha mtu anabwabwaja unampa matumaini, mpaka ukimwambia una mume anakuona mzushi.

Inatakiwa kabla mtu hajaanza kubwabwaja unamkata kauli ajue you mean business.

Siyo unamuachia mtu kasha invest mashairi kuanzia ya Amiri Akida Andanenga "Sauti ya Kiza" mpaka William Shakespeare, halafu umwambie una mtu?

Atakuona mzushi tu unacheza mchezo wa "playing hard to get".
 
mimi ni wa kiume ila maisha yangu sijawai kutongoza kwa kuponda huwa ni straight kama ukiniona nafa poa kama hujarizika poa maana kuwa kung'ang'ania siwezi huwa na rizika na jibu unalo nipa
Sky walker my nigga. Take five.

Mimi nina sheria moja, 0 au 1, sina neutral ground. Ninapo mu aproach mwanamke yoyote huwa nina kuwa tayari kwa majibu yotote. Mwanamke akinikubali basi naendelea. Akikataa huwa silazimishi nakubaliana na hali halisi hata kama sababu ni za kitoto maana najua effect itakuwa kwake.
Si force.. akinikataa hataniona wala kunisikia tena.. napotea mazima.
 
Huo muda wa kutusikiliza ndio twabidi tujipange vizuri kumwaga sera maana Kama ulikua hutaki mtongozo huwezi panga miadi
 
hata kama sababu ni za kitoto maana najua effect itakuwa kwake.

Si force.. akinikataa hataniona wala kunisikia tena.. napotea mazima.


ndo hivyo mkuu mambo ya kuanza kulia lia sijui nini sijui nini hapana aisee.

kuna manzi nili mwambia ukweli sasa akachomoa ila akiniona nimekaa na mwanamke mwingine analia au ananichunia, au kama nina wageni kwangu aniita kwake mara moja kisha anafunga mlango funguo sijui alikuwa anatupa wapi ukitaka kumla anazengua anakuwa mkali kweli yani tena anavaa jinsi kabisa nikaona huu upuuzi siuwezi nika funga vioo moja kwa moja
 
Kuna mambo mengine yanakera sana akiii! Sawa najua wanawake kutongozwa jadi yetuuu ila sasa hawa upande wa pili wanaume mnaboaaaa kama nini?

Haya sawa umeniita unitongoze najua hujui kama nina mme oky nimekusikiliza umebwabwaja porojo zakoo mpaka mwisho nimekupa jibu asante mimi nina mtu.

Kinachokera hauamini tenaa unaanza kusema sikutaki kijanja maaajabu mnaboa sana.

Kwanini saivi tukiwajibu SHORT AND CLEAR hamuamini mnapenda kuzungushwa weeeee kama nini?

Huwa napata motoo mimi hasaa pale unapoanza kumponda mpenzi wangu kama unamjua vileee mfyuuu. Ndio mitongozo ya wapi hiyo mnaboa kweli siyo siri.

Sawa umenitongoza nimekukataaa kwanini uanze kunitukana,kunisema vibaya. Kutunga maneno ya uongo uongo juu yangu? Wanaume badilikeni bhn mnaboa na mitongozo yenu.

Nije kwa hawa wanaume walioooa hawa ndo wananiboa mfano hakuna akikutongoza anakujaza masifa kedekede kama nini?

Ushawishi wenu huuu mbaya sana mnadhambi sana nyieee wanaume za watu.
Yani wanavishawishi sana hawa waume za watu mnakeraaa maneno yenu ya kujisifia na kutoa mapromise hamuoni kama mnatuweka wakati mgumu mnaboaaa bhn msiwe mnatongoza hivyo mfyuuu!

Ngoja nifanye utaratibu nianze kuvaa t-shirt zilizoandikwa "SITAKI KUTONGOZWA".

ONYO: Marufuku kumtag mganga wangu kwenye comment zenu zisizokuwa na miguu wala kichwaa wewe nijibu mm kama mimi labda niseme hivi kama ameniroga kwa uchawi wa Grade C nitamuomba aongeze limbwata hata la Grade A.

Kama unatongozwa na aina ya wanaume wanaokutukana baada ya kuwakatalia na wewe ni tatizo pia. Aidha uko cheap au level ya chini.
 
Yaani we Dada hata ukikasilikaga nakuluba unakuwa kama unacheka yeee yaani kamoyo kangu kamekudondokea mayu,

Niletage mang'ombe magapi yaani getegete
 
Hivi seriously siku hizi kuna mwanaume anatongoza na kusubiri ajibiwe? Me hua najikuta tu tayari niko kwenye mahusiano maswala sijui ya jibu langu au blah blah sijapitia na wala siwezi kufanya. Wapige kibuti tu hao wanatumia njia za enzi ya mwalimu.
 
sikujua kama unawakaga hv na nilitaka nije pm usiku huu, ngoja nikae kimya na li got face langu, mana mimi nikimtongoza hata ajuza mjane anasema ana mtu asa wewe si utaniambia una Yesu kabisa
 
wanakula vya watu halafu mwisho wa picha wanatangaza wanamchumba, ndipo matusi na vichambo huanza;
yaani Mwanaume unamuomba vocha, na offer zake unakula na namba unampa, lunch zake unakula tena na shida unamlilia, akikuomba mzigo unamwambia unampenz sasa huu si ni utapeli kama sio ujambazi usiotumia siraha!!!
bora uambulie matusi lakini wengine hurogwa kabisaa!!
Mwingine hata hivyo huliiii
 
Hahahahahahahaha...........hapo kwenye onyo me [emoji119]

Ila umesema kweli bhanaa wanaume mbadilike ........tabia ya kumponda mwanamke akikukataa siyo nzuri.......mnakeraaaaaa eti utasikia ooh "kwanza una sura mbaya sijui shepu nini " wakati huo lenyewe lina jisura zitooo kama uji wa mgonjwa.....kabondekaa utafikiri aliwahi kuanguka ktk ile ndege ya Malaysia akaponea chupuchupu....wanaume wa hivyo mkome nasisitiza tena mkome mkomae[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53]
Wakomeeee kabisa akikutongoza atakusifia hata kama una komwe ukishamkataaa mama weeeee utaitwa ASHA BOKO
 
Back
Top Bottom