Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

Wanaume mnaboa na mitongozo yenu khaaa!

IMG_20180529_112737_568.jpg
 
Kuna mambo mengine yanakera sana akiii! Sawa najua wanawake kutongozwa jadi yetuuu ila sasa hawa upande wa pili wanaume mnaboaaaa kama nini?

Haya sawa umeniita unitongoze najua hujui kama nina mme oky nimekusikiliza umebwabwaja porojo zakoo mpaka mwisho nimekupa jibu asante mimi nina mtu.

Kinachokera hauamini tenaa unaanza kusema sikutaki kijanja maaajabu mnaboa sana.

Kwanini saivi tukiwajibu SHORT AND CLEAR hamuamini mnapenda kuzungushwa weeeee kama nini?

Huwa napata motoo mimi hasaa pale unapoanza kumponda mpenzi wangu kama unamjua vileee mfyuuu. Ndio mitongozo ya wapi hiyo mnaboa kweli siyo siri.

Sawa umenitongoza nimekukataaa kwanini uanze kunitukana,kunisema vibaya. Kutunga maneno ya uongo uongo juu yangu? Wanaume badilikeni bhn mnaboa na mitongozo yenu.

Nije kwa hawa wanaume walioooa hawa ndo wananiboa mfano hakuna akikutongoza anakujaza masifa kedekede kama nini?

Ushawishi wenu huuu mbaya sana mnadhambi sana nyieee wanaume za watu.
Yani wanavishawishi sana hawa waume za watu mnakeraaa maneno yenu ya kujisifia na kutoa mapromise hamuoni kama mnatuweka wakati mgumu mnaboaaa bhn msiwe mnatongoza hivyo mfyuuu!

Ngoja nifanye utaratibu nianze kuvaa t-shirt zilizoandikwa "SITAKI KUTONGOZWA".

ONYO: Marufuku kumtag mganga wangu kwenye comment zenu zisizokuwa na miguu wala kichwaa wewe nijibu mm kama mimi labda niseme hivi kama ameniroga kwa uchawi wa Grade C nitamuomba aongeze limbwata hata la Grade A.
Hatari
 
Hii tabia sio nzuri kwa kweli! Wanasema ukimpenda utamlinda sasa mimi nakusemea kwa bro kama ishara ya kukulinda. Ambiere Mshana popote ulipo hena nkima jaingia he shamba! Dunga kirinji ambiere veenda kukukondia mche!!
 
Watu wenye mood mbaya kwa leo hawalipwi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja mtoa posho naye nimpe makavu yakeeee
 
Tutimize amri kuu ya asili. "Enendeni mkaijaze dunia" hahaaa
 
mimi ni wa kiume ila maisha yangu sijawai kutongoza kwa kuponda huwa ni straight kama ukiniona nafa poa kama hujarizika poa maana kuwa kung'ang'ania siwezi huwa na rizika na jibu unalo nipa
 
tatizo nazani lipo pande zote; kumtukana mwanamke si sawa, lakini pia wanawake nao kula cha MTU, yaani unamlia vyake halafu unakuja kumkataa ndio mwanzo wa kuja kudhalilishana.
 
Back
Top Bottom