Wanaume mna nini na simu zenu?

Wanaume mna nini na simu zenu?

Msimamo ni kwamba simu yangu mali yangu ntakupa kwa ruhusa yangu.
Kama ni dharula omba simu kistaarabu utapewa sio kuchukua utasema ya kwako tu.
Mara nying mkipewa simu ndio mnapoanza kufanya upekuzi na kuacha kufanya mlichokifata
Tukiheshimiana kwenye namna ya kuomba mali yangu halali hakuna atakaekunyima simu,
Mbona ukiwa na shida ya pesa hurukii kwenye wallet na kuchukua unakuja unaomba unapewa bas na kwenye simu uwe na heshima hyo hyo.
Ndio nyie mkilala simu iko kwenye kaptura na mkioga mnaingia nazo hadi bafuni mana sio kwa kauli hizo.
 
mademu vihere here sana... sasa we umekosa option zote mpaka ushike simu yangu... kama ni mimi ndo mwisho wa mahusiano... kimbele mbele tu!!!!!
 
Alijua unapiga ofisi ya mkuu wa mkoa,si unajua kipindi chenyewe hiki...
 
Habari za leo wanajamvi,

Jamani leo nimestaajabu. Nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kuwa sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba.

Lakini mwenzenu ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu. Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane.

Naombeni kujuzwa
Na usitake kua zaidi maana utalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom