Wanaume mna nini na simu zenu?


Kumbe sio mwanamme wako?
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] bora nikupe hela ukanunue vocha
 
Kosa lako umesema ulichukua utadhani simu yako, ulitakiwa uombe kutumia simu ya mwenzako ndipo akupatie na kama ina privacy zaidi akunyime bila kukunyonga mkono.

Kumbuka hata mkioana bado kila mmoja anabaki na some sort of privacy zake. Yaani ww unazo privacy kadhalika na mwanaume wako. Dont live fake life tunayofundishana mitandaoni.

Unaweza usijue kabisa maishani mwako kumbe dume lako usalama wa taifa na ww ukataka kushima simu ambayo anaitumia kiofisi kha!! Angekuvunja kweli mkono.

Ila nakupa pole bse kwa vyovyote uliumia na kujisikia vby kwa mpenzi wako kukuzuia kwa ghafla vile.

Ila take care siku nyingine my dada PRIVACY!!!!!!!
 
.... nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla ....

First of all, I don't see why excessive force was needed from him. Pole!

Back to you...

It's common courtesy to ask first!

Then again, mmejuana for how long? Huenda ameona movies za Hollywood za kutosha akaona unataka kuiba...

Or, Labda hataki ujue top scores zake za Candy Cr...


Anyhoo, Kuna wale watu ambao wako reserved and they don't like their private/ personal space being invaded unless they let you in or you win their trust.

It's possible anaficha jambo, Or maybe his phone has sensitive data from his line of work, who knows!?

Fact still remains, using your phone, hukusonga kando. Mbona usonge kando na simu yake????

Hiyo game uliyomchezea, jiite mchezaji na umpe heshima zake kama mkufunzi.
 
SIKU ZOTE SIMU YA MWANAUME NI SAWA NA KITUNGUU......
JARIBU UKATEKATE VITUNGUU UJIONE UTAKUAJE!!???
 
Sasa kwanini ulitaka kukimbia nayo? ni marufuku kushikiana simu
 
Ulitakiwa uombe hela ya vocha acha upimbi wee mwanamke,mbona chupi zenu zikiisha hamvai zetu????? Sisi wengine wauza ngada,unataka upate BP?????[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hukutumia usitaarabu kwani ilitakiwa umuombe kwanza kabla ya kuichukua
 
Ukitaka kufa kwa presha fuatilia simu za hao viumbe.

Pia chukulia ni kawaida na usitake kujua kwa nini amekuvuta huo mkono. Ni kumi kwa mmoja wenye kutaka simu zishikwe na wenzi wao hivyo wala usitake ugomvi usiokuwa na sababu.
 
Ukitaka kufa kwa presha fuatilia simu za hao viumbe.

Pia chukulia ni kawaida na usitake kujua kwa nini amekuvuta huo mkono. Ni kumi kwa mmoja wenye kutaka simu zishikwe na wenzi wao hivyo wala usitake ugomvi usiokuwa na sababu.

Haya ndio maneno lunch ya valentine is on me
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…