Wanaume mna laana

Wanaume mna laana

kila mwezi huwa kuna kamwezi mchanga kanajitokeza JF amini hilo!..
Eti ukamtindue malinda shem/mdogo wako kisa kamtaka mtoto wako!.
Ila hearly angalia mzee, kasije kuwa kale katoto wyt kamekuchoma bimkubwa wake kaileta kama bamdogo ili akupeleke maboya upoteze bk.😀
hahaaa kwani shemeji alikuwa hajui kuwa "" Bamdogo nipo Humu Jf "" mpaka hapa kesha nikosa aiseee..
 
Mkuu huyu Kritika kuna moja ya bandiko nilichangia nikasema anahitaji msaada wa kisaikolojia ili aondokane na stress.Huhitaji kukutana na mtu umjue kama ana stress,hata chatting hizi na comments huwa zinatupa viashiria flani vya kwamba mambo hayaendi sawa.Kama kuna dokta au mwanasaikolojia ajitokeze ampe usaidizi huyu mwanadada. Vinginevyo ataishia kila siku kufanya "UJUMUISHAJI WA MATENDO YA AJABU KATIKA JINSIA YA KIUME" sisi wengine tunajiheshimu na mambo ya kijinga hatuna
Kabisa Mkuu usemacho ni sahihi,Huyu dada ana tatizo na si dogo!!.
 
Usisahau kuleta mrejesho baada ya kazi za mijitu yenye nguvu kukamilika
 
Sawa mama shombeshombe...haya wa PM muende kuna shombeshombe koko
 
Jana nilikua naongea kwa simu na rafiki yangu dakika zikakata nikamwita mwanangu (nancy 17) akanichukulie vocha wakati nampa pesa akaniambia mama kama ni simu ya muhimu ongea na simu yangu ina dk zakutosha voda to voda

Nikacopy namba na nancy akaelekea kwa mangi kuchukua vocha, wakati nikiwa na simu yake najiandaa kupiga ikangia msg

"sema basi toto la kishombe shombe omba ruksa wkend hii nikupeleke beach"

nikapotezea nikafikiri nivivulana wenxie waache waende huko wakatiane shombo tu. Mara ikaja sms nyingine

"Usimuogope mama yako kwanza namdai pesa za gari niliyomuuzia hana sauti mbele yangu"

Nikapata wasi wasi nikacopy namba yake pia nacy alikua hajaisave namba hata kwangu haikuleta jina lolote nilivyokua naiandika. Nancy nae akarudi nikampa simu yake nikamwambie sijampata hata niliekua namtafuta akapokea akaingia zake ndani kuangalia series yake ya the 100,

Nikajiuliza huyu anaenidai ni nani tofauti na baba yake mdogo nancy?? Nikaamua kuichek ile namba kwa mpesa kwa kujaribu kutuma kiwango cha uongo cha pesa,,aiseee wanaume ni was*****nge sana jina likaja la yule baradhuli,baba yake mdogo nancy

Mimi sio mwanamke wa kupanic wala kulia lia nikamuita nancy akanieleza bab mdogo ananisumbua kwel mam,nikamwambia sasa mwanangu kubali kwenda out ila mwambia hupendi beach utamwambia eneo la kwenda mkale maraha,,adhabu ya asili itamfika huyu mpumbavu fala kibolo kudinda,nishaandaa mijitu yenye miguvu minne yatatangulia yatajibanza chini ya kitanda

Anaenda kuliwa mtu this wkend
mwenye laana baba yako
 
Umekosea kuandika humu utamkosa tu..nayey pengne yupo humu ashaona
 
Ila hili jina la Nancy ni la malaya, wote niliosikia wakiitwa Nancy ni malaya wrote hawafai
 
nakushukuru angalau unafikiria lakini unaandikaga pumba nyingi..,.......niache kwenye mwembe hapo
 
Unashangaa Baba mdogo!!!Mtaani kwetu huku nimepata taarifa za binti niliyekuwa tayari kumwoa Kwa namna yoyote Ile kuwa Baba yake anaipaa.Pamoja na mbinu zoteeee nilizotumia mtoto hatoi namba zake za simu.Unaambiwa watoto wa kike wakiwa wanaguswa na Baba zao huwa huwaambii kitu maisha yao yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom