Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Kuna stori za kutunga ila hii sio ya kutunga.
Poleni sana
Poleni sana
Mkuu,huwa napenda sana uandishi wako!MADEMU WA KIBONGO WANAVYOPISHANAGA NA BAHATI
12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja.... [emoji16][emoji16]
Halafu ikifika miaka 38 hajaolewa anaanza kuwasumbua akina Mwakasege, Gwajima, Lusekelo wakuombee upate mume [emoji23][emoji23]wengine huenda kwa shekhe Juma kusafisha nyota huku akisahau kuwa nyota alishaichafua kule juu,ambapo ule muda alioupoteza kule juuu wenzake walitumia chance hiyo wakaolewa [emoji3]huu ni uzwange Jr[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeniwahi. Mrejesho muhimukritika ... jamaa aliliwa?
Tusubiri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeniwahi. Mrejesho muhimu