Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
hahahaLipa hela za watu
hahahaLipa hela za watu
Mmh mkuu wasimfilimbe tyuu jmnJana nilikua naongea kwa simu na rafiki yangu dakika zikakata nikamwita mwanangu (nancy 17) akanichukulie vocha wakati nampa pesa akaniambia mama kama ni simu ya muhimu ongea na simu yangu ina dk zakutosha voda to voda
Nikacopy namba na nancy akaelekea kwa mangi kuchukua vocha, wakati nikiwa na simu yake najiandaa kupiga ikangia msg
"sema basi toto la kishombe shombe omba ruksa wkend hii nikupeleke beach"
nikapotezea nikafikiri nivivulana wenxie waache waende huko wakatiane shombo tu. Mara ikaja sms nyingine
"Usimuogope mama yako kwanza namdai pesa za gari niliyomuuzia hana sauti mbele yangu"
Nikapata wasi wasi nikacopy namba yake pia nacy alikua hajaisave namba hata kwangu haikuleta jina lolote nilivyokua naiandika. Nancy nae akarudi nikampa simu yake nikamwambie sijampata hata niliekua namtafuta akapokea akaingia zake ndani kuangalia series yake ya the 100,
Nikajiuliza huyu anaenidai ni nani tofauti na baba yake mdogo nancy?? Nikaamua kuichek ile namba kwa mpesa kwa kujaribu kutuma kiwango cha uongo cha pesa,,aiseee wanaume ni was*****nge sana jina likaja la yule baradhuli,baba yake mdogo nancy
Mimi sio mwanamke wa kupanic wala kulia lia nikamuita nancy akanieleza bab mdogo ananisumbua kwel mam,nikamwambia sasa mwanangu kubali kwenda out ila mwambia hupendi beach utamwambia eneo la kwenda mkale maraha,,adhabu ya asili itamfika huyu mpumbavu fala kibolo kudinda,nishaandaa mijitu yenye miguvu minne yatatangulia yatajibanza chini ya kitanda
Anaenda kuliwa mtu this wkend
Kama unatumia app just tap bandiko lako ukishafanya hivyo juu kulia itakuletea vitufe viwili cha kureply kingine kama cha setting hivi select hicho kitakupa option ya kuedit ubadilisheCaren jina la shule nimeliandika kimakosa hapo sikutaka ajulikane how can i edit?
Fafanua kuhusu gari analokudai maana hio ndio ndoana aliyokukamatia mdomoniJana nilikua naongea kwa simu na rafiki yangu dakika zikakata nikamwita mwanangu (nancy 17) akanichukulie vocha wakati nampa pesa akaniambia mama kama ni simu ya muhimu ongea na simu yangu ina dk zakutosha voda to voda
Nikacopy namba na nancy akaelekea kwa mangi kuchukua vocha, wakati nikiwa na simu yake najiandaa kupiga ikangia msg
"sema basi toto la kishombe shombe omba ruksa wkend hii nikupeleke beach"
nikapotezea nikafikiri nivivulana wenxie waache waende huko wakatiane shombo tu. Mara ikaja sms nyingine
"Usimuogope mama yako kwanza namdai pesa za gari niliyomuuzia hana sauti mbele yangu"
Nikapata wasi wasi nikacopy namba yake pia nacy alikua hajaisave namba hata kwangu haikuleta jina lolote nilivyokua naiandika. Nancy nae akarudi nikampa simu yake nikamwambie sijampata hata niliekua namtafuta akapokea akaingia zake ndani kuangalia series yake ya the 100,
Nikajiuliza huyu anaenidai ni nani tofauti na baba yake mdogo nancy?? Nikaamua kuichek ile namba kwa mpesa kwa kujaribu kutuma kiwango cha uongo cha pesa,,aiseee wanaume ni was*****nge sana jina likaja la yule baradhuli,baba yake mdogo nancy
Mimi sio mwanamke wa kupanic wala kulia lia nikamuita nancy akanieleza bab mdogo ananisumbua kwel mam,nikamwambia sasa mwanangu kubali kwenda out ila mwambia hupendi beach utamwambia eneo la kwenda mkale maraha,,adhabu ya asili itamfika huyu mpumbavu fala kibolo kudinda,nishaandaa mijitu yenye miguvu minne yatatangulia yatajibanza chini ya kitanda
Anaenda kuliwa mtu this wkend
Huyo nyangumi mpuuzi tu mume wangu kabla hajatangulia mbele za haki alikua anamdai pesa nyingi tu ndio maana haji kunifuata kuniambia nimlipe pesa za hiyo gariFafanua kuhusu gari analokudai maana hio ndio ndoana aliyokukamatia mdomoni
Basi usilalamike kama kaamua kujilipa kwa njia mbadala...wacha atengeneze njia vzr kwa mwanaoHuyo nyangumi mpuuzi tu mume wangu kabla hajatangulia mbele za haki alikua anamdai pesa nyingi tu ndio maana haji kunifuata kuniambia nimlipe pesa za hiyo gari
Siku sema ni mume wangu baba nancy yupo mbele ya haki miaka kadhaa sasa.Kama stori hii na zingine zote ambazo umekuwa ukizileta hapa JF ni za ukweli, basi hiyo familia yenu yote imejaa "wazinzi" na "waasherati". Wewe mwenyewe ulituambia kuwa ulichepuka ili kumkomoa mume wako mjinga mjinga, na huko ulipoenda kuchepuka ukafikishwa kileleni mara 5.
Leo hii unatuambia kuwa shemeji yako, baba yake mdogo na binti yako anamtongoza huyo binti yako Caren. Wazungu wana msemo wao wanasema; "an apple does not fall far from its tree"...... siyo ajabu hata huyo "caren" wako akaja kuwa kama wewe au hata zaidi ya wewe kwenye zinaa. Kama huyo binti yako Caren alikuwa hataki kuliwa na baba yake mdogo, angekuja kwako na kumshitaki, na wala asingefanya siri. Lakini hata jina lake alikuwa hajali-save kwenye simu yake ili iwe siri.
Zinaa huwa inarithiwa kutoka kizazi hadi kizazi, inawezekana hata wewe umerithi hiyo tabia kutoka kwa mzazi wako mmoja! Hivyo basi siyo tu huyo mwanaume amelaaniwa, hata wewe pia unalaana.