Wanaume mna laana

Wanaume mna laana

Jana nilikua naongea kwa simu na rafiki yangu dakika zikakata nikamwita mwanangu (nancy 17) akanichukulie vocha wakati nampa pesa akaniambia mama kama ni simu ya muhimu ongea na simu yangu ina dk zakutosha voda to voda

Nikacopy namba na nancy akaelekea kwa mangi kuchukua vocha, wakati nikiwa na simu yake najiandaa kupiga ikangia msg

"sema basi toto la kishombe shombe omba ruksa wkend hii nikupeleke beach"

nikapotezea nikafikiri nivivulana wenxie waache waende huko wakatiane shombo tu. Mara ikaja sms nyingine

"Usimuogope mama yako kwanza namdai pesa za gari niliyomuuzia hana sauti mbele yangu"

Nikapata wasi wasi nikacopy namba yake pia nacy alikua hajaisave namba hata kwangu haikuleta jina lolote nilivyokua naiandika. Nancy nae akarudi nikampa simu yake nikamwambie sijampata hata niliekua namtafuta akapokea akaingia zake ndani kuangalia series yake ya the 100,

Nikajiuliza huyu anaenidai ni nani tofauti na baba yake mdogo nancy?? Nikaamua kuichek ile namba kwa mpesa kwa kujaribu kutuma kiwango cha uongo cha pesa,,aiseee wanaume ni was*****nge sana jina likaja la yule baradhuli,baba yake mdogo nancy

Mimi sio mwanamke wa kupanic wala kulia lia nikamuita nancy akanieleza bab mdogo ananisumbua kwel mam,nikamwambia sasa mwanangu kubali kwenda out ila mwambia hupendi beach utamwambia eneo la kwenda mkale maraha,,adhabu ya asili itamfika huyu mpumbavu fala kibolo kudinda,nishaandaa mijitu yenye miguvu minne yatatangulia yatajibanza chini ya kitanda

Anaenda kuliwa mtu this wkend
Rafki yngu mmoja yeye baba yake mzazi akakosea kupga sim kwa kimada wake akajua anaongea na baby wake kumbe ni mtoto wake hadi aibu kwa lana yake
 
Angalia wasije wakabadilisha venue alafu mtoto akaliwa kweli...

Watu wa namna hiyo wanakuaga na machale sana...

Cc: mahondaw
 
Aliwe tu na mimi nahakikisha analiwa huyo nduli sina shida mwanangu kuliwa ila aliwe na rika lake wapakane shombo sio huyo fala mwenye kashfa za kibamia mtaani,anatafuta watoto ili kiweze kufiti
Mtoto hulelewa na mtu mzima kiba100 ndo size ya mwanao mhugo kwa sasa hapna. Mbona wew kipndi kile yko ilitolewa na mbaba kwa chips yai?
 
MADEMU WA KIBONGO WANAVYOPISHANAGA NA BAHATI

12:00 nakuja
13:20 ndio naoga
15:50 navaa nguo
17:40 ndio natoka
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni wanakuja....

Halafu ikifika miaka 38 hajaolewa anaanza kuwasumbua akina Mwakasege, Gwajima, Lusekelo wakuombee upate mume wengine huenda kwa shekhe Juma kusafisha nyota huku akisahau kuwa nyota alishaichafua kule juu,ambapo ule muda alioupoteza kule juuu wenzake walitumia chance hiyo wakaolewa huu ni uzwange Jr
 
Jana nilikua naongea kwa simu na rafiki yangu dakika zikakata nikamwita mwanangu (nancy 17) akanichukulie vocha wakati nampa pesa akaniambia mama kama ni simu ya muhimu ongea na simu yangu ina dk zakutosha voda to voda

Nikacopy namba na nancy akaelekea kwa mangi kuchukua vocha, wakati nikiwa na simu yake najiandaa kupiga ikangia msg

"sema basi toto la kishombe shombe omba ruksa wkend hii nikupeleke beach"

nikapotezea nikafikiri nivivulana wenxie waache waende huko wakatiane shombo tu. Mara ikaja sms nyingine

"Usimuogope mama yako kwanza namdai pesa za gari niliyomuuzia hana sauti mbele yangu"

Nikapata wasi wasi nikacopy namba yake pia nacy alikua hajaisave namba hata kwangu haikuleta jina lolote nilivyokua naiandika. Nancy nae akarudi nikampa simu yake nikamwambie sijampata hata niliekua namtafuta akapokea akaingia zake ndani kuangalia series yake ya the 100,

Nikajiuliza huyu anaenidai ni nani tofauti na baba yake mdogo nancy?? Nikaamua kuichek ile namba kwa mpesa kwa kujaribu kutuma kiwango cha uongo cha pesa,,aiseee wanaume ni was*****nge sana jina likaja la yule baradhuli,baba yake mdogo nancy

Mimi sio mwanamke wa kupanic wala kulia lia nikamuita nancy akanieleza bab mdogo ananisumbua kwel mam,nikamwambia sasa mwanangu kubali kwenda out ila mwambia hupendi beach utamwambia eneo la kwenda mkale maraha,,adhabu ya asili itamfika huyu mpumbavu fala kibolo kudinda,nishaandaa mijitu yenye miguvu minne yatatangulia yatajibanza chini ya kitanda

Anaenda kuliwa mtu this wkend
Kuwa makini, mitego kama hii imewahi kuwaponza wategaji.
 
Aiseee!

Hatari kubwa!

Kuzoeana na ndugu sana ndio haya!

Hua najiuliza hivi ndugu mtu mzima anakujakuja nyumbani kwako kufanya nini bila kazi maalumu?What is this?

Ndio watoto wanabakwa na mjomba,sijui baba mdogo,sijui binamu,etc...Takwimu zinasema watoto idadi kubwa wanabakwa au kulawitiwa na ndugu wa karibu kabisa na familia,thats the truth!
 
Tafuta njia nyingine ya kumkomesha huyo baba mdogo,usifanye hiyo unayotaka utamtafutia laana mwanao.kingine na ww inaonyesha unachangamoto ya malez kwa mwanao
 
Mama namba ya Nancy tafadhari mm ni mtoto mwenzake
 
Mpumbavu huyo. Kabla ya kuliwa apimwe kwanza tezi dume
 
Naomba Mimi namba za nancy pliz miye mkubwa mwenzake!Afu huyu Nancy had I umkamate ndio aseme?Akiliwa babamdogo hakikisha jamaa wanadondosha kiasi cha pesa anachokudai kwa kujidai ni bahati mbaya zimedondoka
 
Pumba...vu kabisa we mwanamke (Nisamehe tu lkn) yaani unataka kutuunganisha na huyo mpuuzi!!!!Yaani amebakiza kukula wewe tu....Hebu kuwa mkweli hapa, je hajawahi kukuonesha ishara za kutaka kukula???
 
Kama stori hii na zingine zote ambazo umekuwa ukizileta hapa JF ni za ukweli, basi hiyo familia yenu yote imejaa "wazinzi" na "waasherati". Wewe mwenyewe ulituambia kuwa ulichepuka ili kumkomoa mume wako mjinga mjinga, na huko ulipoenda kuchepuka ukafikishwa kileleni mara 5.

Leo hii unatuambia kuwa shemeji yako, baba yake mdogo na binti yako anamtongoza huyo binti yako Caren.
Wazungu wana msemo wao wanasema; "an apple does not fall far from its tree"...... siyo ajabu hata huyo "caren" wako akaja kuwa kama wewe au hata zaidi ya wewe kwenye zinaa. Kama huyo binti yako Caren alikuwa hataki kuliwa na baba yake mdogo, angekuja kwako na kumshitaki, na wala asingefanya siri. Lakini hata jina lake alikuwa hajali-save kwenye simu yake ili iwe siri.

Zinaa huwa inarithiwa kutoka kizazi hadi kizazi, inawezekana hata wewe umerithi hiyo tabia kutoka kwa mzazi wako mmoja! Hivyo basi siyo tu huyo mwanaume amelaaniwa, hata wewe pia unalaana.
Kwa maneno haya inabidi aombe TOBA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom