Wanaume mna laana

Wanaume mna laana

Good Lord.

Hapo tu uliposema acha waende huko wakapakane shombo na vivulana nimebaki naumia. Unless ni story tu unatoa hapa kwa ajili ya kuchangamsha kijiwe.

Hivi una uchungu na mwanao kweli? Ni mwanao wa kumzaa?

Zama hizi za kumlinda mtoto awe wa kiume ama wa kike wewe una relax kabisa 'wakapakane shombo' at the tender age of 17?

[HASHTAG]#shakingmydamnhead[/HASHTAG]
 
Hiyo itakuwa ni adhabu ya wewe kuchepuka juzi labda,with so much challenges in this life heri nijifunze kuwa na upendo mie maana upendo hushinda yote!
 
Siku sema ni mume wangu baba nancy yupo mbele ya haki miaka kadhaa sasa.

Yule ni mjinga mjinga tu asie na mbele wala nyuma
polee sanaa, jitaid kumshauri Nancy kwa urafiki na pia ukaribu ajue jinsi ya kujiepusha na vishawishi au kujiweka katika usalama.
 
Kwa hyo heading yako ina maana laana inaanzia kwa baba'ko inaenda kwa ndg na jamaa zako wote wa kiume,yaani wana laana!!!
 
Kwa kuweka hiyo story humu umeshampeperusha ndege wako.

Anyway, huyo mpuuzi ni wakumpa za uso mbele ya wazazi na ndugu zake. Naomba uelewekuwa huyo shemeji yako hana sifa za mwanaume, anazo sifa za vivulana.

Vv
 
Siku sema ni mume wangu baba nancy yupo mbele ya haki miaka kadhaa sasa.

Yule ni mjinga mjinga tu asie na mbele wala nyuma
kama uko hivyo usishangae kuona mwanao anapitia njia hizo hizo unazopitia wewe.

Vv
 
Nije na mimi jitu la miraba 77,
 
hahaaa kwani shemeji alikuwa hajui kuwa "" Bamdogo nipo Humu Jf "" mpaka hapa kesha nikosa aiseee..
Me nikisikia Nancy naikumbuka Mautam blog tu 😀 sasa kwa vitendo vya mama kritika na mtoto wake mmhh!..
 
Me nikisikia Nancy naikumbuka Mautam blog tu 😀 sasa kwa vitendo vya mama kritika na mtoto wake mmhh!..
hahaaaa..mautamu blog acha kabisaa..mama Nancy anasema yupo radhi mwanae kuliwa lakini iwe kwa vijana wenzie
 
hahaaaa..mautamu blog acha kabisaa..mama Nancy anasema yupo radhi mwanae kuliwa lakini iwe kwa vijana wenzie
kakupa namba!?. Hebu muombe namba basi shemeji!🙂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom