ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
halafu mjue mwanamke mjanja haangalii una kazi nzuri,nyumba au gari bali anaangalia kama una akili za maisha hata kama huna unaweza kutafuta sasa nyie wenzangu na mimi mnajiproud mnaishia kupigwa mizinga na kuja kulialia humu.
Usihofu tukionana nitakupa moja kama ile alikua amevaa Mh. George Mkuchika siku anafunga maonesho...nipe moja my king...........
Tusio na magari tunawachukia sana wenye magari.
Mkuu hata mimi nilikuwa najua kuwa Tanzania hamna tatizo la ajira kulingana na comment humu mpaka pale nilipojionea uwanja wa Taifa nikashangaa.
Hahhaha..unajua humu kila mtu ana maisha yake na hatujuani. .ss mtu anaposema ukweli watu wanaona anajikweza
umbea ukizidi ni msutano kwenda mbele........
JF ni kila kitu..elimu, habari, urafiki, burudani, matusi, ugomvi etc. Lakini mbona gari ni kitu cha kawaida sana karne hii,, siamin ndo kinachomtoa povu mtoa mada,, ni tafsiri hasi kuwa unaringishiwa, sasa kama mtu anadrive adanganye kuwa amepanda mkokoteni mradi tu molembe asimtafsiri vibaya!?!
Kama nilivyosema watu wana Stress zao humu hadi uonekane unagombea daladala la mbezi au mtongonani ndio anaona sawa. Miaka hii magari kibao ya mkopo ndio usiseme bora angesema mtu kajisifia ana Chopa yake kama Ndesamburo kweli lakini gari? UMASKINI KITU KIBAYA SANA KWAKWELI.
Wewe umeona la gari tu.
Watu wana stress zao wanataka wote muwe makapuku ndio wanafurahi,,,ha ha ha ha halafu ndio hao hao kuja humu na kusifia msanii gani anaendesha gari ya kifahari sijui nyumba yake nzuri.