Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Hehehe!!!
Mjini chuo kikuu, kijijini chekechea...

Yeye Shy land anakazana kuandika masredi kumbe wengine wanatumia ID yake kumega warembo kisela...

Kwa hapa Watu8 umeniingiza kwenye choo cha kike sijakuelewa unamanisha nini?
 
Last edited by a moderator:
usiumize kichwa hiyo ni mojawapo ya basic need hujaamua tu kwn baadhi ya wa humu ni sawa tu na corner bar. Mfano kwenye autobiography ya pili yule mdada ni kahaba tu kwa jinsi simuliz yke ilivokua na eti katulia subutu!!!!
 
Shem si unakuwa kama silent killer tu...

Fungua IDs mpya za kutosha halafu kwenye kutongoza unajifanya ni mtu maarufu wa kitambo...

Btw uko poa wewe?

Mie niko poa shem.
Ila humu Jf watu wanatafunwa sana....ila mimi sipo....
Kwahiyo mtu anaweza jifanya maarufu wa humu na akamega mzigo?
Nyie wanaume nyie....haahahahahh
 
Kwa hapa Watu8 umeniingiza kwenye choo cha kike sijakuelewa unamanisha nini?

Hapa JF kuna raia wao hata hawashindi huku jukwaani...

Anachofanya ni kufungua ID mpya halafu anaenda kuzeveza wachuchu huko PM akijifanya ni memba maarufu kama wewe hivi...

Kwa hiyo huko PM mchuchu anakuwa anajua anachat na tajiri wa kisukuma Shy land kumbe ni mla vumbi mwingine tu...
 
Last edited by a moderator:
Wekundu wa Msimbazi wala hawanipi jakamoyo.

Nikishapiga viroba kaa vinne hivi najitoa fahamu halafu moto chini.

....Plus na ule uchumvichumvi basi balaaa.
Ila wanaume mnavumilia mengi....hebu mie
 
Mie niko poa shem.
Ila humu Jf watu wanatafunwa sana....ila mimi sipo....
Kwahiyo mtu anaweza jifanya maarufu wa humu na akamega mzigo?
Nyie wanaume nyie....haahahahahh

Hadi hii leo wametafunwa wagap? ambao unawajua kwa idadi? labda itanitia moyo na mimi nitafune hata mmoja?.
 
kuhusu kuwanasa humu JF Hilo naweza, tatizo kwenye vitendo venyewe ndio kazi? ndio hapa kuna shughuli.

Hahaha....kwa hiyo unataka ufundishwe nini mkuu kama kukamata tetere unaweza?
 
Mie niko poa shem.
Ila humu Jf watu wanatafunwa sana....ila mimi sipo....
Kwahiyo mtu anaweza jifanya maarufu wa humu na akamega mzigo?
Nyie wanaume nyie....haahahahahh

Kweli limuvi lilikupita besti. Na ilivyo ndefu mapeji na mapeji.
 
Back
Top Bottom