Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Hapa JF kuna raia wao hata hawashindi huku jukwaani...

Anachofanya ni kufungua ID mpya halafu anaenda kuzeveza wachuchu huko PM akijifanya ni memba maarufu kama wewe hivi...

Kwa hiyo huko PM mchuchu anakuwa anajua anachat na tajiri wa kisukuma Shy land kumbe ni mla vumbi mwingine tu...

Afu kuna thread ishawahi kuletwa hapa....yaani kuna watu hawaonekani jukwaani mwezi mzima,lakini yuko online.....ila sasa Pm ndo jukwaa lake....hahahahaa.....uwiiiiiii!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha....kwa hiyo unataka ufundishwe nini mkuu kama kukamata tetere unaweza?

Angekua anaweza si angeshakamata mmoja akapata jibu la swali lake???
Unadanganyika? Mtoeni uoga Msukuma huyo.
 
Mie niko poa shem.

Ashukuriwe Mungu...

Kwahiyo mtu anaweza jifanya maarufu wa humu na akamega mzigo?
Nyie wanaume nyie....haahahahahh

Kuna mzigo ulishushwa na lara 1 humu...

Unaelezea kidume mmoja anavyotumia mbinu mbalimbali kula papuchi...

Mbinu mojawapo ndio hiyo kujipa jina linalovuma...

Mwanaume akiamua hashindwi atii...
 
Hapa JF kuna raia wao hata hawashindi huku jukwaani...

Anachofanya ni kufungua ID mpya halafu anaenda kuzeveza wachuchu huko PM akijifanya ni memba maarufu kama wewe hivi...

Kwa hiyo huko PM mchuchu anakuwa anajua anachat na tajiri wa kisukuma Shy land kumbe ni mla vumbi mwingine tu...

Umeandika ukweli mtupu!!! washawahi kunipm kama watatu nikawapoteza nikafikiri nimidume inataka kunizingua akili?? KUMBEEE.

nashukuru Watu8 kunifumbua macho nalifanyia kazi kuanzia leo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hata ukitembelea nyota ya mtu maarufu humu..kama we nyota yako ni kama ya dokta love(pimbi) hautoki..shyland uenda ana nyota ya pimbi

Hahah...sasa ndio anataka afunzwe utade wa kung'oa mizigo humu

Huenda kaichoka hiyo nyota kimeo...
 
Afu kuna thread ishawahi kuletwa hapa....yaani kuna watu hawaonekani jukwaani mwezi mzima,lakini yuko online.....ila sasa Pm ndo jukwaa lake....hahahahaa.....uwiiiiiii!!!!
Bora wa kupotea mwezi mzima.
Mtu kajiunga ana mwaka, post zake mbili anakuja pm, Hi!
Unajua tu hapa Mwanaume yupo kazini.
 
Umeandika ukweli mtupu!!! washawahi kunipm kama watatu nikawapoteza nikafikiri nimidume inataka kunizingua akili?? KUMBEEE.

nashukuru Watu8 kunifumbua macho nalifanyia kazi kuanzia leo.

Ukute midume kweli na walikua wanakufikiria tofauti kama ulivyowafikiria.
 
Last edited by a moderator:
Ashukuriwe Mungu...

Kuna mzigo ulishushwa na lara 1 humu...

Unaelezea kidume mmoja anavyotumia mbinu mbalimbali kula papuchi...

Mbinu mojawapo ndio hiyo kujipa jina linalovuma...

Mwanaume akiamua hashindwi atii...

Asante shem.

Ila wanaume wa humu nimewavulia kofia....yaani unashangaa ID hujawahi kuiona hata siku moja jukwaani lakini huko PM unashinda na kuamka nayo....daadeqqqq....
 
Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu wanaume walifanikiwa kupata wapenzi au michepuko humu JF kwamba waliwezaje? Na confidence waliitoa wapi? yakujiamini kiasi hicho, nasema hivyo kwa sababu ukijaribu kufatilia michango na maoni ya watu kuhusu maswala ya kimapenzi, kiuchumi na kielimu utabaini ya kwamba kila mtu JF yuko vizuri sana katka nyaja zote hizo.

mfano; Mapenzi kila mwanaume ni fundi wa kugegeda tena mwenye uwezo wakumaliza dak. 60 kwa mbao moja, ukiachana na hivyo wanajisifu wanajua sana mapenzi na taaratibu ya kumuweka sawa mwanamke ili umegegede afurahie tendo.

hapo juu ni mfano moja wapo tu, ya majifuno na masifa wanayojipa wanaume wa JF ukiachana na habari za kila mwanaume wa JF Isipokuwa mimi, wote waliobaki wamesoma hadi chuo, na maisha yao kwa sasa yako DAR.

Bwebwe zote hizo ndio zimenifanya leo niwaulize nyie wanaume muliopata wapenzi humu kwamba muliwezaje? maana mimi naona kama sina vingezo kwa sababu elimu yangu ni darasa la saba kugegeda natumia dak 5 hadi 8 kufunga mbao na sijui kuada

Hahahahahahahah watu mna fasihi mpaka raha
 
Angekua anaweza si angeshakamata mmoja akapata jibu la swali lake???
Unadanganyika? Mtoeni uoga Msukuma huyo.

Hahah...

Halafu watu kama hawa wakishaonja warembo wa hapa ndio huwatoi nakwambia...

Bora aendelee kuwa muoga hivi hivi asije akaishia kuandikwa kwenye masredi ya kina silent killer...
 
Back
Top Bottom