Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Kwahyo tukupe hongera au?
 
Kama huna pesa....hata upige mzigo kama kuli wa Kariakoo....nitachomoka tu

Rais wa wabeba maboksi nikose pesa?

Hapa ni mwendo wa dola na yuro tu.

Nakwambia wewe ndo tushapinga hivyo huchomoki ng'o.

Fanya maandalizi tu.
 
Ukute midume kweli na walikua wanakufikiria tofauti kama ulivyowafikiria.

Nngaaaaa!! unasamaje?? wanifikirie tofauti? kuhusu nini. wambie wataujua vizuri mzizi unaoitwa kanyakombe. hayo mambo yao yakifikiria tofouti yaishie huko dar lakn siyo huku shy.
 
Bora wa kupotea mwezi mzima.
Mtu kajiunga ana mwaka, post zake mbili anakuja pm, Hi!
Unajua tu hapa Mwanaume yupo kazini.

Halafu sasa usiombe mpeane namba afu mjikute wote mko Whatsapp....utakoma.
Maana watataka mpaka picha tunazooga tuwatumie....haaaaaa
 
Hahah...

Halafu watu kama hawa wakishaonja warembo wa hapa ndio huwatoi nakwambia...

Bora aendelee kuwa muoga hivi hivi asije akaishia kuandikwa kwenye masredi ya kina silent killer...

Unafikiri atakuja kwa ID hiyo shem.....thubutu yake
 
Nngaaaaa!! unasamaje?? wanifikirie tofauti? kuhusu nini. wambie wataujua vizuri mzizi unaoitwa kanyakombe. hayo mambo yao yakifikiria tofouti yaishie huko dar lakn siyo huku shy.

Sasa kama yaishie Dar mbona wewe wa Shinyanka uliwafikiria tofauti??
Ulifikiria ni midume na wao walifikiria wewe ni mimi.
 
Back
Top Bottom