Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,838
- 37,530
Umepona kipenzi changu?? Yani niliikuta hapa live eti umetangulia... loh!
Nilikosa hata cha kuandika, kurudi tena nikakuta taarifa za tofauti.
Pole mwaya.
Shoga angu we acha tu...yaani niliandaliwa na jeneza kabisa ila Mungu akasema NOO.....ila kiukweli nilikuwa naumwa mpaka ilibidi niwe nameza dawa za maumivu ili niweze kutembea na kuzunguka nje. Mzima lakini bibie?