Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
haha ha ha ha ha, eeh umekuwaje? tena.
Wopuna nhang'o? Okolala olelinda khe?
haha ha ha ha ha, eeh umekuwaje? tena.
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.
Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.
Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.
Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.
Stay tuned and don't change that dial.....
Dah mim leo ndio nimejua kama brother ni mkwongwe humu ndani alikuwa miongoni mwa mafounder wa hi kitu alifaa apewe hata uadmini kama akina fang, na innovetor big up to you brother hao watoto ulistahili kuwatafuna tu, ni haki yako wewe sindo ulikuwa unawaonesha njia watakuambia nini tena
Huna ubavu wa kuwaorodhesha nakwambia......utaongea tu hapa
Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu wanaume walifanikiwa kupata wapenzi au michepuko humu JF kwamba waliwezaje? Na confidence waliitoa wapi? yakujiamini kiasi hicho, nasema hivyo kwa sababu ukijaribu kufatilia michango na maoni ya watu kuhusu maswala ya kimapenzi, kiuchumi na kielimu utabaini ya kwamba kila mtu JF yuko vizuri sana katka nyaja zote hizo.
mfano; Mapenzi kila mwanaume ni fundi wa kugegeda tena mwenye uwezo wakumaliza dak. 60 kwa mbao moja, ukiachana na hivyo wanajisifu wanajua sana mapenzi na taaratibu ya kumuweka sawa mwanamke ili umegegede afurahie tendo.
hapo juu ni mfano moja wapo tu, ya majifuno na masifa wanayojipa wanaume wa JF ukiachana na habari za kila mwanaume wa JF Isipokuwa mimi, wote waliobaki wamesoma hadi chuo, na maisha yao kwa sasa yako DAR.(hapakua na sababu ya kuandika kwa herufi kubwa)
Bwebwe zote hizo ndio zimenifanya leo niwaulize nyie wanaume muliopata wapenzi humu kwamba muliwezaje? maana mimi naona kama sina vingezo kwa sababu elimu yangu ni darasa la saba kugegeda natumia dak 5 hadi 8 kufunga mbao na sijui kuada
Huna kimeenda wapi?
....'kwachaaa'....haya tumepinga
Haya nikupe siku ngapi?
Alah!!!!! Kwani Mimi china miguu?
Huyo ngalo Nyani Ngabu asikusumbue....mwambie hivi atale bhado....neyo ashagekile.
Madame niaje aise
Umepona kipenzi changu?? Yani niliikuta hapa live eti umetangulia... loh!Huna ubavu wa kuwaorodhesha nakwambia......utaongea tu hapa
Ina maana sipo kwenye Limenyu lako au huwa unaniruka makusudi?
Najisikia kunyanyapaliwa aisee.
Niko poa mpenzi.
Naangalia mikwara ya Nyani Ngabu.....naona anajaribu kupanda mnazi huku amevaa msuli
Nalindaga bushile ubuyengu wane, latimu lyane yatindaga magoli adatuu.
Juzi kati tu hapa aliambiwa kuhusu dada fulani alitiaje huruma alivyokua anajitetea!!Huna ubavu wa kuwaorodhesha nakwambia......utaongea tu hapa
Ha haa mnansema kiguruku eeh,nimewastukia sasa!
Ondoa shaka....nawe utaliwa tu muda si mrefu.
Ahaaaaa......safi sana.
Sasa kabla hatujakubaliana nikupe siku ngapi, tukubaliane kwanza kuhusu hili:
Nikiyataja utanipa/ fanyia nini na nikishindwa kuyataja utaamua mwenyewe nikupe/ nikufanyie nini.
Sawa?
Mwache atishie kujamba wakati anaharisha...mekumiss pande zile bibi wewe...
Juzi kati tu hapa aliambiwa kuhusu dada fulani alitiaje huruma alivyokua anajitetea!!
Utadhani hana kifanyio halafu kasingiziwa kumpa ujauzito mwanafunzi.