Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Nasikia ukitumia ID ya mtu maarufu unatafuna vichwa kimya kimya...

Kwa kuanzia hebu tembelea nyota ya Nyani Ngabu naona ana bahati ya kutafuna warembo humu kama alivyokueleza hapo juu...

kuhusu kuwanasa humu JF Hilo naweza, tatizo kwenye vitendo venyewe ndio kazi? ndio hapa kuna shughuli.
 
Last edited by a moderator:
Halafu nyie wenye vidomo domo ndo nawapenda sana.

Ni mwendo wa kuwakunja hadi nagonga shingo ya uzazi.

Nimeishia kucheka tu maana unasema hayo ukute kwenye hiyo shingo ya uzazi hakikaribii hata kwa mbali... Yale yale ya kada.
Unaishia kupiga deki tu.
 
Nasikia ukitumia ID ya mtu maarufu unatafuna vichwa kimya kimya...

Kwa kuanzia hebu tembelea nyota ya Nyani Ngabu naona ana bahati ya kutafuna warembo humu kama alivyokueleza hapo juu...

Mkuu hata ukitembelea nyota ya mtu maarufu humu..kama we nyota yako ni kama ya dokta love(pimbi) hautoki..shyland uenda ana nyota ya pimbi
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu kikubwa pumzi,
hivyo vingine nitatumia hata vya bandia au nikimkuta chizi kavua nguo nitamrukia....ila pumzi ndo kila kitu

Unasamejee? bandia?? chizi? akavua utamrukia??? nitafute nikupe mchogo.
 
Nasikia ukitumia ID ya mtu maarufu unatafuna vichwa kimya kimya...

Kwa kuanzia hebu tembelea nyota ya Nyani Ngabu naona ana bahati ya kutafuna warembo humu kama alivyokueleza hapo juu...

Hahaaa Faza, mbona tayari watu washasafiria nyota yangu humu na kujifanya eti ndo mimi ili tu wapate mademu.

Sasa tatizo huwa wanaumbuka vibaya mno.

Kwanza, watu wenyewe yai halipandi kama nilipandishalo mimi.

Pili, hawajakwiva kama nilivyokwiva mimi. I mean, mtu anakula vumbi deile unategemea nini? Ukisema unaishi kiwanja unaishia kuonekana mzushi tu.

Tatu, pamba za ukweli mgogoro. Mi nanyuka pamba kali...sasa mla vumbi pamba zako za kwenye sagula sagula...wapi na wapi hapo?

Nne, swaga zao hazijaenda kidato.

Ila wanajitahidi bana.
 
Thubutu yenu bora mfungue mpya.....hizi za long hazikawii kwenda kukulipua jukwaa lingine.

Shem si unakuwa kama silent killer tu...

Fungua IDs mpya za kutosha halafu kwenye kutongoza unajifanya ni mtu maarufu wa kitambo...

Btw uko poa wewe?
 
Back
Top Bottom