Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Kukutana jamii forum, raha saana.....
Kuna mamiii wa jf.. nampendaga saaana..
She is my future wife.....
cute b
Njoo hapa bby

Hahahaaaaa..... mimi na wew ni product ya jf..
Ivi pasingekuwa na jf tungekutana wapi tena? I love youuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Mzima lakini shosti? Lile jukwaa unaliendeleza au umeshastaafu?

Mtu wenyewe unaingia kwa kubeep.....au unawaogopa silent killers?
Mie mzima shouga angu niko fresh tu.....haya we hayajakukuta ya ID mpya Pm?
 
mbele ya papuchi hakuna serious ukimjulia wewe unachange topic na jina unaelekea anakotaka plan A ikifeli unakuja na B HUYU UMEMPATIA endelea hadi aingie tunduni aombe poo

Akha simtaki mwenzangu....kule MMU kutwa kucha wanamlalamikia kuwa ana kibamia......asa mie wa nini?
 
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Ya kweli hayoo au unajiongezea masifuri mbele! kama 1 isomeke 11...mi naisubiri orodha kwa haaamu nataka kuwajua wanawake wenzangu uliowanyonyoa kama kuku wa chrismass.
 
t3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQUT81jjGMyBo80qHp5Mk-dQElb3A2D5kyMLWrOXMZPQvFikl7twV2FjB0
 
Siri nyingi za Jf zipo katika id's za kike niamini mimi hawa wanawake siku wakiamua kututaja watatutaja sana na upuuzi wetu aisee....!!
 
Huyo Nyani Ngabu atachemka tu....hana ubavu wa kutaja....ndio maana nasema labda aje na ID yake isiyofahamika ila hatakuja kwa hiyo yake maarufu

Mi IDs zangu zote zinafahamika humu.

Ninazo kama 355 hivi na zote nshawahi kuziorodhesha humu.

Na huwa nazitumia tu kama hii ikifungiwa.
 
uwiii nakutafuta sana wewe leo tukutane kwenye kubeti

ila usiseme mengine yaleeeeeeeeeeee

excel na cute b walisema wanaacha kubeti, muhind anawapa za uso, ila jana mambo yalikua gud nahisi wameahirisha mpango wao
 
Mi IDs zangu zote zinafahamika humu.

Ninazo kama 355 hivi na zote nshawahi kuziorodhesha humu.

Na huwa nazitumia tu kama hii ikifungiwa.

Hahahaha.....labda nife kesho,ila ningali hai.....nataka kuona ujasiri wako
 
Siri nyingi za Jf zipo katika id's za kike niamini mimi hawa wanawake siku wakiamua kututaja watatutaja sana na upuuzi wetu aisee....!!

Umenena kweli siku kikinuka hapa wanaume mtajibeba sana tu mtakua victim.
 
Asante shem.

Ila wanaume wa humu nimewavulia kofia....yaani unashangaa ID hujawahi kuiona hata siku moja jukwaani lakini huko PM unashinda na kuamka nayo....daadeqqqq....
Mama Mtumishi pole sana, Mungu akutie nguvu afya yako iimarike.
Mkuu Watu8 si umwambie tu madame kijungu ni nyota ipi matata mdau alisafiria.
 
Last edited by a moderator:
Mama Mtumishi pole sana, Mungu akutie nguvu afya yako iimarike.
Mkuu Watu8 si umwambie tu madame kijungu ni nyota ipi matata mdau alisafiria.

Asante baba mtumishi.
Sie wengine tumezaliwa huku tumeshikilia bahati mikononi
 
Last edited by a moderator:
Asante baba mtumishi.
Sie wengine tumezaliwa huku tumeshikilia bahati mikononi
Jambo la kumshukuru sana Mungu umerudi katika hali nzuri. Maana yaelekea ulikua unazidiwa na ugonjwa ukimfikria kachanga.
 
haahaahaa... ubuyuuu

weken ushuhuda , tupatamo uzoefu wa nyuma ya keyboards
 
Back
Top Bottom