Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Mi IDs zangu zote zinafahamika humu.

Ninazo kama 355 hivi na zote nshawahi kuziorodhesha humu.

Na huwa nazitumia tu kama hii ikifungiwa.

umetisha na zote unazebenza papuchi moja hapo lazima hata ka ID kamoja katakubaliwa kumbe mtu yule yule
 
Siri nyingi za Jf zipo katika id's za kike niamini mimi hawa wanawake siku wakiamua kututaja watatutaja sana na upuuzi wetu aisee....!!
kweli kabisa mnakumbuka Grace aliyejali manina jf kiboko
 
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Yaani ukawala 13 na kuwamaliza kabisaaaaaa, lo!! we noma aisee
 
Huku kwetu uzee unaanzia miaka 45.
Utu uzima sijui maana nimekuta huko mtu anatafuta haki ya kulea mtoto wa miaka 20.
Tafuta umri wa mtu mzima hapo.

Mimi hata 40 sijagonga!

Nipo kwenye kundi gani sasa?
 
Humu yataka kuwa makini sana;
Heri kupata mtu ambaye ana akili timamu
Vinginevyo watu wanatafuta sifa za kuandikana majina.
 
sio rahis kuacha mkuu huyu Excel mbona kawa mzalendo wa kubet hata leo tushabet cos pesa ipo tunasubir mechi....
excel na cute b walisema wanaacha kubeti, muhind anawapa za uso, ila jana mambo yalikua gud nahisi wameahirisha mpango wao
 
Last edited by a moderator:
Mtu wenyewe unaingia kwa kubeep.....au unawaogopa silent killers?
Mie mzima shouga angu niko fresh tu.....haya we hayajakukuta ya ID mpya Pm?
Mimi wangu Wa jf ninae ndani mwenyewe, Ila roho mkononi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom