Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Nyani Ngabu nilifikiri umtu mzima lakini kwa majibu yako yananipa mashaka. JF imeingiliwa sitaki kukuweka kwenye kizazi cha .com.

Una maana gani unaposema ulifikiri mi ni mtu mzima?

Na ni nini kilichokufanya ufikirie hivyo? Unadhani nina umri gani?

Huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu hudhani mimi ni mzee au sijui mtu mzima.

Nashindwa kuelewa kabisa.
 
Na ni ninikilichokufanya ufikirie hivyo? Unadhani nina umri gani?

Huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu hudhani mimi ni mzee au sijui mtu mzima.

Nashindwa kuelewa kabisa.
michango yako mingi imejawa na busara na hekima
 
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Playaz playaz
 
Kumbe silent killer maneno matupu! Maanake haraka haraka naona umekula wengi kuliko yeye!
 
Una maana gani unaposema ulifikiri mi ni mtu mzima?

Na ni nini kilichokufanya ufikirie hivyo? Unadhani nina umri gani?

Huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu hudhani mimi ni mzee au sijui mtu mzima.

Nashindwa kuelewa kabisa.

Mie ndo hapo ninapochokaga na baadhi ya raia wa JF,Nyerere mwenyewe ilikuwa inafika sehenu anakaa na kuanza kutaniana na wananchi wake.....itakuwa wewe bhana?
Wanataka uwe serious kwani wewe Rais Mugabe?

Waulize utu uzima huo ulionao umemzaa nani maarufu katika nchi hii mpaka wakupe kipimo cha utu uzima?
Hawajamuona bi. Kidude, bibi. Titi au hawajamuona mama Maria Nyerere eeee hawa.....hebu wakuche
 
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Umetisha sanaa ..hongera
 
Una maana gani unaposema ulifikiri mi ni mtu mzima?

Na ni nini kilichokufanya ufikirie hivyo? Unadhani nina umri gani?

Huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu hudhani mimi ni mzee au sijui mtu mzima.

Nashindwa kuelewa kabisa.

Hivi mtu mzima ni umri upi hasa?
 
I haven't a clue!

Nilijua wewe mtaalam wa kiswahili utakuwa unajua mtu mzima ni umri upi.
Maanake kuna kijana,mtu mzima,mzee,kikongwe sijui ni kundi lipi kiumri linatofautisha au linawakilisha hao
 
Hahaaa Faza, mbona tayari watu washasafiria nyota yangu humu na kujifanya eti ndo mimi ili tu wapate mademu.

Sasa tatizo huwa wanaumbuka vibaya mno.

Kwanza, watu wenyewe yai halipandi kama nilipandishalo mimi.

Pili, hawajakwiva kama nilivyokwiva mimi. I mean, mtu anakula vumbi deile unategemea nini? Ukisema unaishi kiwanja unaishia kuonekana mzushi tu.

Tatu, pamba za ukweli mgogoro. Mi nanyuka pamba kali...sasa mla vumbi pamba zako za kwenye sagula sagula...wapi na wapi hapo?

Nne, swaga zao hazijaenda kidato.

Ila wanajitahidi bana.

Hahahaaaa!

Bro, umenichekesha sana! brazameni wa long time ago!

Ok, ngoja nikabeti kwa wazee wenzangu, naona pesa ipo na leo!...
 
Hahahaha.....mmoja ndo alitoa kali....kanipigia simu kabisa kuwa nimwambie mtu fulani asimtaje.....hahahahah,Chezea free P

Haa...haa..Nilipokuwa napitia ule uzi nikahisi kabisa kuna waliokuwa wanalala mle huku roho juu kuwa ...tobaa..mie natajwa sasa hivi...
 
Una maana gani unaposema ulifikiri mi ni mtu mzima?

Na ni nini kilichokufanya ufikirie hivyo? Unadhani nina umri gani?

Huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu hudhani mimi ni mzee au sijui mtu mzima.

Nashindwa kuelewa kabisa.

Huku kwetu uzee unaanzia miaka 45.
Utu uzima sijui maana nimekuta huko mtu anatafuta haki ya kulea mtoto wa miaka 20.
Tafuta umri wa mtu mzima hapo.
 
Shy land

Eeh mbona wengi wanasema wanaochukua wanawake mitandaoni ni madomo zege?! Ina maana wewe ni zaidi ya domo zege,sass huko mtaani unawapataje!
 
Last edited by a moderator:
Haa...haa..Nilipokuwa napitia ule uzi nikahisi kabisa kuna waliokuwa wanalala mle huku roho juu kuwa ...tobaa..mie natajwa sasa hivi...

Hahahhah....yaani ni shiiideeer.....
Mtu unalala huku simu iko kiganjani....ukikurupuka tu unaingia threadini kuangalia kama hujatajwa....
Manake huyo bwana nilishawahi kumuuliza kuwa mtu fulani unadate nae....akakataa katakata asa nashangaa siku hiyo napata simu kutoka kwa jamaa akisisitiza kuwa nim-please huyo huyo msichana aliyekuwa anamkana kuwa hamjui,asimtaje....nikamwambia we si ulisema humjuu,akasema ohhhhh unajua nilikuwa sijakuelewa......nyooooo!!!!!
Hahahahahahhah
 
Na roho juu haiishi leo..manake lazima kujiuliza..mmh na hii trend asije ibuka mwingine na biography tena!
 
Hahahaha.....mmoja ndo alitoa kali....kanipigia simu kabisa kuwa nimwambie mtu fulani asimtaje.....hahahahah,Chezea free P

Halafu wabinafsi hawa,uliona zamu yao ilivyofika wakaanza kukata rufaa!
 
Back
Top Bottom