Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,153
Kumbe bidada wale wahusika unawapata bila chenga?Manake huyo bwana nilishawahi kumuuliza kuwa mtu fulani unadate nae....akakataa katakata asa nashangaa siku hiyo napata simu kutoka kwa jamaa akisisitiza ...nikamwambia we si ulisema humjuu,akasema ohhhhh unajua nilikuwa sijakuelewa......nyooooo!!!!!
Hahahahahahhah