Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Usinikumbushe aise,watu bp zilipanda gafla,wakawa wadogo fastaaa. lara mubaya

Hahahaha.....mmoja ndo alitoa kali....kanipigia simu kabisa kuwa nimwambie mtu fulani asimtaje.....hahahahah,Chezea free P
 
Last edited by a moderator:
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Nyani nilizaniaga huko majuu hawapatikani au unawajia bongo?
 
Nyani nilizaniaga huko majuu hawapatikani au unawajia bongo?

Hata majuu wapo japo wachache. Halafu hawa wa majuu hawana maneno mengi kama akina Madame B. Hivyo hawa huwa nawagonga ngozi kimya kimya.

Ni hawa wa Uswazi wenye makeleel ndo nataka niwatoboe shingo za uzazi halafu ntangaze.
 
Last edited by a moderator:
Hata majuu wapo japo wachache. Halafu hawa wa majuu hawana maneno mengi kama akina Madame B. Hivyo hawa huwa nawagonga ngozi kimya kimya.

Ni hawa wa Uswazi wenye makeleel ndo nataka niwatoboe shingo za uzazi halafu ntangaze.

Niko usingizini ila nitakujibu....
Shingo ya uzazi umtoboe nani?
Unajua kina changu wewe?
Asa njoo nikutoe jasho
 
Last edited by a moderator:
Niko usingizini ila nitakujibu....
Shingo ya uzazi umtoboe nani?
Unajua kina changu wewe?
Asa njoo nikutoe jasho

Unaniuliza kina chako?

Kimo changu unakijua wewe?

Usilete mashkhara Madame B.
 
Hata majuu wapo japo wachache. Halafu hawa wa majuu hawana maneno mengi kama akina Madame B. Hivyo hawa huwa nawagonga ngozi kimya kimya.

Ni hawa wa Uswazi wenye makeleel ndo nataka niwatoboe shingo za uzazi halafu ntangaze.

Unachuma cha moto weweeee,unaunguza watoto weweee...upewe mkong'oto weweee...
 
Last edited by a moderator:
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Mnapata wajinga nacici tunawajua unajitangaza unatafuta mke wa kuowa unatafuna afu unatelekeza hahaha munatumia id feki unachenji kila mara nimekutana na hadithi nying kwa marafiki zangu mfano rafkiangu mmoja alilalamika alipata mpenz anataka kumuoa akaenda kumtembelea akalalanae kama wiki kamtema uyo kaka kachenji id kajitangaza upya soo nawashauri madada mcikurpuke kurupuke nacikia uyo kaka anapost kila siku kutafuta mke wakuoa na id tofaut kibaya zaid anajifanya mlokole mcha mungu kumbe shetani wa kwanza
 
Back
Top Bottom