Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,838
- 37,533
Anajipa moyo wa plastiki....tehe tehe!
...wakati mchana kutwa anajianika juani
Anajipa moyo wa plastiki....tehe tehe!
Tafsiri: Mabichwa yako yote mazuri, nayapenda kupita maelezo.
Ahhhhhhaaaa.....basi ndio maana unaishia kutuita mashemeji.....nani anataka umgeuze msumari?....kila siku umgonge tuuuuu au umgeuze mashudu kila siku umshindilie tuuuuu.....Pesa baba, mjini cha bure salamu
(...naomba jibu la hapa nisilisome...)
Mmh kwendraaaa!
Shindwa na ulegee mwili mzima!
Ujumbe umemfikia.....yaani hategeki mtu hapa hata akijipaka ulimbo
kwa hiyo unataka niuze ng'ombe wagap?? ili nikutafune kwa bashasha zote.
Usiogope Madame B.
Halafu hulali wewe?
Na wewe kalale ukue.
Na ukiota niote mimi.
Sawa?
Ha haaa mbio zote za povu la ndovu zitawaishia
...wakati mchana kutwa anajianika juani
Nasubiri mkilala nami nitalala
Wala sikuoti hata kwa dollars...
Wala sikuoti hata kwa dollars...
Unahitaji dawa ya usingizi wewe.
THREAD CLOSED. nimepata nilichokuwa nimekikosa siku zote humu jf. asanten wadau.