Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Uza ng'ombe unitafute.....
Unataka akushauri nini tena wakati unaleta kibesi?

Habar za kuuza ng'ombe wa maziwa kwa sababu ya bunye nakuomba ziishie hapo!! kwani wen wewe kutafunwa hadi ziunzwe ng'ombe.
 
Habar za kuuza ng'ombe wa maziwa kwa sababu ya bunye nakuomba ziishie hapo!! kwani wen wewe kutafunwa hadi ziunzwe ng'ombe.

Ahhhhhhaaaa.....basi ndio maana unaishia kutuita mashemeji.....nani anataka umgeuze msumari?....kila siku umgonge tuuuuu au umgeuze mashudu kila siku umshindilie tuuuuu.....Pesa baba, mjini cha bure salamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom