WANAUME mkilogwa na WANAWAKE mtasema mmeonewa?

WANAUME mkilogwa na WANAWAKE mtasema mmeonewa?

Ningekuwa sijaoa huyo rafiki yako angenifaa sana,ameonyesha ni msikivu.Napenda binti msikivu,kama mwanaume ukitulia naye mnatoka sio utani!
Mwambie rafiki yako achukue maamuzi magumu,aanze maisha yake.
 
Huyo rafikiyo mwambie aache tamaa maana kwa kasi ya kutaka kuolewa anaweza kugeuzwa jamvi kila mtu analalia na kuondoka
Cha msingi aondoke kwa huyo jamaa aanze maisha upya na atulizane. Kama suala la chumba atafute kingine

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Yeeelewiiii nimeingia choo cha kike!!!

Huyo jamaa kulala na mgeni mwanaume sebuleni siku zote hizo ni Mlibelari au? Na baridi ya usiku inakuwaje mwanaume kumuacha mpenziwe akalale na mgeni. Labda jamaa ana inferiority complex ya kushindwa kupiga ile kitu wanaume wa kihaya wanapigaga inaitwa katerero so anahofia akiwowa watu watakuwa wanamsaidia kuipiga hiyo kitu ya kihaya. Kama vipi aende kwa Mfalme wa Bunyoro kule Uganda akajifunze hiyo kitu
 
wakati akiwa bado hajajipanga mwambie aje kwangu niwe namfariji, kamwe sitalala sebuleni hata akija mgeni gani!
 
Kila siku mimi huwa nawaambia wadada wenzangu ndoa haitafutwi wala hailazimishi wakati ukifika inakuja yenyewe, kwani bila ndoa hawezi kuishi miaka 28 kitu gani bwana, kuna watu wanamiaka zaidi ya 30 wala hawana pressure na ndoa. sasa yeye nani alimwambia eti ukihamia kwa mwanaume ndo unaolewa? kwanini asingekaa kwake waowane kwanza ndo waishi pamoja, unaigiza umeolewa kumbe hakuna, kwanini anajirahisi sana hajui anajishusha thamani? Mwambie mme wake yupo anakuja huyo hakuwa mme wake, ila asidanganyike tena kuhamia kwa mwanaume kabla ya ndoa, anajutia chumba kwani vyumba vya kupanga vimeisha?
 
Death is among best way of solving a problem. Aitumie hii kama hawezi kuachana huyo bwana.
 
Kwa hiyo anataka kujiua sababu ya chumba alichoachia zaidi ya kukosa ndoa? Hii story sijaielewa kabisa.

Kulala sebuleni na mwanamme na kumwacha yeye chumbani, je akija mgeni mwanamke inakuwaje?

Ndo story za kutunga zilivyo
 
Ndo vile.......kwani kazaliwa nae.......hiyo ndio mitihani ya kujiandaa na necta......sio kila uhusiano lazima uzae ndoa........asimame......ajikung'ute.......aendelee na safari......achunge tu.....kilichomwangusha kisimwangushe tena........
Bora alivyorekebisha hapo manake nlidhani anahitaji kurejeshewa kodi yake ya chumba, jinsi alivyo na usongo ni rahisi kupata ndoano kuliko ndoa.
 
Huyo dada tatizo lake ametanguliza kuolewa sana! inaonekana yeye anachataka ni mwanaume wa kumuoa bila kujali sifa ya huyo mwanaume, huenda pia ikawa ni walewale waliochezea bahati yao wakati wakiwa na umri wa 20 -25 yrs, ila wanaume wanaowachezea akina dada na kuwaacha kwenye mataa wanakera sana,
 
hapo siyo mwisho wa maisha , ajipange upya aendelee na maisha..................miaka 28 mbona bado mbichi tu.

hlf ndoa haitafutwi kwa nguvu hivyo.................
 
kwani walizaliwa pamoja? wamekutana ukubwani wote meno yakiwa yametimia 32, aachane nae aendelee na maisha yake.
 
Hy taboo Ipo sn, mhaya Kwa mhaya, mchaga Kwa mchaga mPwani Kwa mpwani, haezi kulazimisha kuolewa, yatakuwa machungu sn kwake, ukichunguza sn utakuta rfk yako alijisogeza Kwa Jamaa, though hawezi kuwa muwazi kwako
 
Ajifunze kwa makosa yake
na aanze maisha yake!!!!!!

NB; Toto la kihaya sijui black beauty,umbo namba nane na mambo kama hayo
hayana cha kufanya na mapenzi ya kweli na ndoa!!!!

Kumbeee!
Nini kinahitajika sasa tupate mapenzi ya kweli na ndoa?
 
Back
Top Bottom