Codehood
JF-Expert Member
- Dec 9, 2021
- 216
- 449
Bado nawaza likapata hitilafu wakati wa show,,,, hiyo shoti atakayokula mjuba
Bado nawaza likapata hitilafu wakati wa show,,,, hiyo shoti atakayokula mjuba
HakijambiDah! Unaoa kitu hakiendi haja yoyote ile😂😂😂
na minyg mshindo yangu itabidi ninunue hata 3 maana zitawahi kuchakaaZikiletwa bongo DP atakuja kulalamika hapa kwamba hazina maji kama wanawake wa kichaga na Kipare
Mlianza na kataa ndoa sasa mmekuja na maroboti sasa sisi atatuoa nan jaman😭😭
Naona mchagga unawapromote dada zako😁Zikiletwa bongo DP atakuja kulalamika hapa kwamba hazina maji kama wanawake wa kichaga na
Unatoshelezwa na haja?Dah! Unaoa kitu hakiendi haja yoyote ile😂😂😂
Hii midoli inaweza kujua kumpindua mtu aiseeUnatoshelezwa na haja?
Hii ukiwa nayo ni once for all
Hakuna kubembelezana hakuna mizozo, hakuna utovu wa nidhamu nk
Imewekewa kila kionjo, huenda walifanya tafiti kutoka makabila mengi hasa ya afrika maana mmmh ukienda Songea!!! Ni kama umekumbatia nyiguHii midoli inaweza kujua kumpindua mtu aisee
💯
Haha...ni dada zangu ila Kuna sehem wanakwama....lazma tuwaambiw ukwlNaona mchagga unawapromote dada zako😁
Na wewe unaamini?Tena wanasema ni watamu kuliko hawa binadamu.
Robot Kuna sehemu utabonyeza ukitaka alie,na Kuna maneno wanemfeed una press button atayaongeaAnakuwa romantic na anaililia kama hawa akina mwajuma?
Wapo kama wetu tako ft 60 au ndo walewale tako cm 20Nadhani Kuna tofauti kubwa ndio maana wamettengenezwa..yaani ukiwaona nikama wanawake tu wakawaida.
😳Imewekewa kila kionjo, huenda walifanya tafiti kutoka makabila mengi hasa ya afrika maana mmmh ukienda Songea!!! Ni kama umekumbatia nyigu
mwanamke anaanza kujipigia promoooo..utaweza kushinda na robotiKitu hata hakipigi mizinga wala haombi ombi pesa wa kazi gani?
Mwanamke mzuri ni yule anayehongeka
Na hawa wa kiafrika akishakuwa na tako..anafikiri anabeba degree..takataka kabisaWanawake wataishi vipi sasa maana K zao ndo mtaji pekee wanategemewa